Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana

Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili aingizwe rasmi ktk mfumo

Inasemekana Yanga walikuwa wanammendea pia ( kimya kimya ) ndio maana mnyama wakaamua kumvuta mapema
 
Atakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?

Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya 😀😀😀😀
 
Atacheza namba ngapi pale Yanga? Labda asajiliwe kuja kumsaidia Jimmy Kindoki pale Jangwani.
 
Atakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?

Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya 😀😀😀😀
Sa

Sasa CBE ndio

Niliskia cbe ni wachezaji wao ni mkusanyiko wa wafanyakazi wanaofanya usafi benki huko Ethiopia😂😂
 
Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana

Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili aingizwe rasmi ktk mfumo

Inasemekana Yanga walikuwa wanammendea pia ( kimya kimya ) ndio maana mnyama wakaamua kumvuta mapema
Hivi taarifa Yako isinge kuwa nzuri bila kuihusisha yanga?
 
Makolo baada ya kusajili Kwa kutapeliwa na SGR feki ya Zambia sasa hivi Gugu boy amerudi Kwa kuwafariji mbumbumbu Kwa kuwatajia Mpanzu ambaye walishidwa kutoa hela.
 
kombe la akina mama ndo limewarudisha mjini kenge nyinyi, kutoka nafasi ya 70 Africa hadi ya 13 sasa, kwahiyo huwa nashangaa mnavyolidharau, ila narejea kauli ya Manara pale nyuma mwiko wenye akili ni wawili tu
Atakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?

Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya 😀😀😀😀
 
Winga matata kabisa kutoka DRC Elie Mpanzu (22) ni mnyama. Atajiunga na Simba SC dirisha dogo akiwa kama mchezaji huru kutoka baada ya mkataba wake na AS Vita kutamatika.
N.B: Ukiulizwa nani kasema jibu ni Hichilema
Ligi kuu bongo Ataanza kucheza mwezi gani ?.
Na je shirikisho atacheza ?
 
Back
Top Bottom