Msiwe mnawapandisha thamani wachezaji kwa kupitia mgongo wa yanga, yanga wangetaka kumchukua uyo mchezaji wangeshamchukua siku nyingi, yanga awakuwa na mpango nae Wala kocha akuwai kumhitaji tafuteni kingine cha kuongea!Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana
Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili aingizwe rasmi ktk mfumo
Inasemekana Yanga walikuwa wanammendea pia ( kimya kimya ) ndio maana mnyama wakaamua kumvuta mapema