Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

Kwanza kadanganya umri anaonekana ni mzee, akiumia kidogo anakaa nje msimu mzima. Akipona ni kupaisha mpira na kukosa magoli, na kukaa benchi




Misumari ya simba ni next level pro max.





Muda utazungumza
UPO SAHIHI MKUU NI KAMA DUBE ALIVYOPIGWA MISUMARI SASA HIVI ANAPAISHA TU MIPIRA.
 
Mpaka tumwone ndani ya kikosi,tushazoea hizi propaganda za usajili hewa Simba
 
Atakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?

Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo mlivaa medali za hakina mama siyo?
 
Sasa unatuuliza sisi? Waulize viongozi wako wa utopoloni huko wanaolia lia kwenye media..huu ni ushahidi utopolo ni wakurupukaji sana
Nimeamini simba mashabiki wake mbumbumbu kama yanga alechukua ubingwa miaka 3 mkurupukaji sijui simba atakua nani
 
Nimeamini simba mashabiki wake mbumbumbu kama yanga alechukua ubingwa miaka 3 mkurupukaji sijui simba atakua nani
Ujinga kweli mzigo. kwahiyo kuchukua ubingwa kunafanyeje utopolo wasiwe wakurupukaji? Mnasema kagoma hawezi cheza utopolo, Simba wakamchukua, then mnalia lia kwenye media kwamba ni mchezaji wenu. Sasa mlimsajiri wa nn kama hana huko. Tuwaiteje kama sio wakurupukaji?

Halafu b4 hujachukua hiyo misimu mi3 nani alikuwa mbabe wako kwa misimu m4? Utopolo hamjawahi kujielewa asee
 
Back
Top Bottom