Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
- Thread starter
- #61
Umesema ukweli mkuu....Kuna vitu vinachekesha Sana kwa kweliUjinga kweli mzigo. kwahiyo kuchukua ubingwa kunafanyeje utopolo wasiwe wakurupukaji? Mnasema kagoma hawezi cheza utopolo, Simba wakamchukua, then mnalia lia kwenye media kwamba ni mchezaji wenu. Sasa mlimsajiri wa nn kama hana huko. Tuwaiteje kama sio wakurupukaji?
Halafu b4 hujachukua hiyo misimu mi3 nani alikuwa mbabe wako kwa misimu m4? Utopolo hamjawahi kujielewa asee