Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Atacheza namba ngapi pale Yanga? Labda asajiliwe kuja kumsaidia Jimmy Kindoki pale Jangwani.Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana
Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili aingizwe rasmi ktk mfumo
Inasemekana Yanga walikuwa wanammendea pia ( kimya kimya ) ndio maana mnyama wakaamua kumvuta mapema
SaAtakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?
Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya ๐๐๐๐
Sasa CBE ndioAtakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?
Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya ๐๐๐๐
Niliskia cbe ni wachezaji wao ni mkusanyiko wa wafanyakazi wanaofanya usafi benki huko Ethiopia๐๐Atakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?
Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya ๐๐๐๐
Kamuulize engineer sawa?Atacheza namba ngapi pale Yanga? Labda asajiliwe kuja kumsaidia Jimmy Kindoki pale Jangwani
Leta uongo na ww tuseme "sidhani Kama ni uongo"Sidhani kama ni kweli.
Viongozi wa simba hua hawako serious, so kama ni kweli ni jambo jema.Leta uongo na ww tuseme "sidhani Kama ni uongo"
Hivi taarifa Yako isinge kuwa nzuri bila kuihusisha yanga?Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana
Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili aingizwe rasmi ktk mfumo
Inasemekana Yanga walikuwa wanammendea pia ( kimya kimya ) ndio maana mnyama wakaamua kumvuta mapema
Unaumia?Simba bhana,mtamsajili hata babu Alex Ferguson
Unaongelea utopolo wa kumlilia kagoma mpaka kuitisha press ya kuomba maandamano kwenda kushtaki ikulu?Atacheza namba ngapi pale Yanga? Labda asajiliwe kuja kumsaidia Jimmy Kindoki pale Jangwani.
Atakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?
Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya ๐๐๐๐
Simba bhana,mtamsajili hata babu Alex Ferguson
Kama wachezaji wazee waliokuwepo Simba au waliokuwa wanakaa benchi wanapata namba yeye ndio atakosa..Atacheza namba ngapi pale Yanga? Labda asajiliwe kuja kumsaidia Jimmy Kindoki pale Jangwani.
Wewe nakuamini 100 percent...Winga matata kabisa kutoka DRC Elie Mpanzu (22) ni mnyama. Atajiunga na Simba SC dirisha dogo akiwa kama mchezaji huru kutoka baada ya mkataba wake na AS Vita kutamatika.
N.B: Ukiulizwa nani kasema jibu ni Hichilema
Ligi kuu bongo Ataanza kucheza mwezi gani ?.Winga matata kabisa kutoka DRC Elie Mpanzu (22) ni mnyama. Atajiunga na Simba SC dirisha dogo akiwa kama mchezaji huru kutoka baada ya mkataba wake na AS Vita kutamatika.
N.B: Ukiulizwa nani kasema jibu ni Hichilema
nlikuwa nangojea useme chochote,Winga matata kabisa kutoka DRC Elie Mpanzu (22) ni mnyama. Atajiunga na Simba SC dirisha dogo akiwa kama mchezaji huru kutoka baada ya mkataba wake na AS Vita kutamatika.
N.B: Ukiulizwa nani kasema jibu ni Hichilema