Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Kwanza kadanganya umri anaonekana ni mzee, akiumia kidogo anakaa nje msimu mzima. Akipona ni kupaisha mpira na kukosa magoli, na kukaa benchiHuu ndiyo mtihani mkubwa pale simba.
Hili swali muulize msemaji wako😄Tuwe tu wakweli! Kama angesajiliwa, angechukua namba ya nani pale Yanga? Aucho!!!
Semaji la kagomerHili swali muulize msemaji wako😄
Yule ni Mcongoman kaaga kwaoAnapigwa misumari anakuwa majeruhi wa kudumu, na akipona ni mwendo wa kukosa magoli
UPO SAHIHI MKUU NI KAMA DUBE ALIVYOPIGWA MISUMARI SASA HIVI ANAPAISHA TU MIPIRA.Kwanza kadanganya umri anaonekana ni mzee, akiumia kidogo anakaa nje msimu mzima. Akipona ni kupaisha mpira na kukosa magoli, na kukaa benchi
Misumari ya simba ni next level pro max.
Muda utazungumza
Mwambie achomoe mwikoUnaumia?
Kwahiyo mlivaa medali za hakina mama siyo?Atakuwepo mechi ya Jumapili na atasaidia ingawe mpate kona au short on and off target hata 1 Kwenye kombe la Akina Mama?
Maana mlitia aibu, hamjapata short off wala on target, hamjapata kona hata 1 wala faulo mliyochezewa wala mpira wa kurusha dhidi ya waarabu siku ile mlivyokuwa mnalawitiwa pale Libya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa unatuuliza sisi? Waulize viongozi wako wa utopoloni huko wanaolia lia kwenye media..huu ni ushahidi utopolo ni wakurupukaji sanaTuwe tu wakweli! Kama angesajiliwa, angechukua namba ya nani pale Yanga? Aucho!!!
Lin utopwinyo walikuwa na akiliKWANI WAKATI MNATAKA KUMSAJILI MLIKUWA MNATAKA KUMSAJILI ILI IWEJE? KAMA HANA NAMBA MBONA MNANG'ANG'ANIA?
Muulize kaduguda.Kwahiyo mlivaa medali za hakina mama siyo?
Nimeamini simba mashabiki wake mbumbumbu kama yanga alechukua ubingwa miaka 3 mkurupukaji sijui simba atakua naniSasa unatuuliza sisi? Waulize viongozi wako wa utopoloni huko wanaolia lia kwenye media..huu ni ushahidi utopolo ni wakurupukaji sana
hayo yote simba ilishafanya 4yrs mfululuNimeamini simba mashabiki wake mbumbumbu kama yanga alechukua ubingwa miaka 3 mkurupukaji sijui simba atakua nani
Anamakombe mangapi ya ligi huyo simba baada ya kufanya hivyo?hayo yote simba ilishafanya 4yrs mfululu
ka google au nenda pale msimbazi watakuonyesha jifunze kuushughulisha ubongo wakoAnamakombe mangapi ya ligi huyo simba baada ya kufanya hivyo?
Jibu swali anamakombe mangapi au hujui hata timu Yako inamakaombe mangapi baada ya kuchukua huo mfulilizo?ka google au nenda pale msimbazi watakuonyesha jifunze kuushughulisha ubongo wako
12(CUBA STUDENTS)ONLYJibu swali anamakombe mangapi au hujui hata timu Yako inamakaombe mangapi baada ya kuchukua huo mfulilizo?
mfulilizo ni nn mkuu?
Ujinga kweli mzigo. kwahiyo kuchukua ubingwa kunafanyeje utopolo wasiwe wakurupukaji? Mnasema kagoma hawezi cheza utopolo, Simba wakamchukua, then mnalia lia kwenye media kwamba ni mchezaji wenu. Sasa mlimsajiri wa nn kama hana huko. Tuwaiteje kama sio wakurupukaji?Nimeamini simba mashabiki wake mbumbumbu kama yanga alechukua ubingwa miaka 3 mkurupukaji sijui simba atakua nani