Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

Marekani ameshapoteza Zaid trillions of usd Afghanistan na akafeli sembuse hio mill 80 na pentagon wamekuambia wameshindwa kugharamia hizo gharama
Ww jamaa mbona ina kichwa kigumu kuelewa ?
Hapo kwenye maandishi yangu kuna sehemu nimeandika ya kuwa pentagon imeshindwa kulipa?
 
Hakuna tajiri namba moja mropokaji kama yeye sijawai kuona ,tangu ishu za cryptos currencies daily analeta taharuki ni mtu anapenda tension sana
Jamaa tokea awe tajiri namba 1 anajikuta anaju kila anapenda kick, na hizi hasira zake ni baada ya Ukraine na marekani kuupuzia ushauru wake

Mim siwatetei marekani Ila mambo ya siasa awaachie wanasiasa hayawezi
 
Elon musk amezira baada ya Ukraine na marekani kuupuzia ushauri wake ndo ameamua kususa, Elon musk mtoto WA juzi awaambie marekani kipi Cha kufanya sababu kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa marekani
Kuwaambia waanze kulipia gharama ya internet ndio kuzira?
 
Kama amewasaidia kwanin anawadai mbona unaongea lugha gongana
Mimi mwanzoni sikusema anawadai.Alitoa sadaka na sasa anahisi wema umeshamzidi kimo.
Lakini kama kuna kitu anawadai basi hali ilivyo naunga mkono bora alipwe kwanza.Atawezaje kumudu kuiweka hiyo satelite angani.Yeye hayumo kwenye siasa zao.Alipotoa msaada alitaka kujitangazia biashara na sasa ishajulikana kuwa vifaa vyake vinafaa sana pasipo na mawasiliano ya kawaida.Yatosha.
 
Elon musk amezira baada ya Ukraine na marekani kuupuzia ushauri wake ndo ameamua kususa, Elon musk mtoto WA juzi awaambie marekani kipi Cha kufanya sababu kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa marekani
Ww jamaa una akili fupi sana Elon musk ni mfanya biashara na hiyo mitambo yake aiendeshwi kwa kutumia mkojo wako bali inatumia hela tena hela ndefu sana, kwa hiyo usichukulie mambo kirahisi tu.
 
Kwa hiyo washitishe kuwasaidia Ukraine kwa sababu Elon musk anawadai, na hiyo starlink Elon musk si alipeka kwa utashi wake mwenyewe kwani amelazimishwa asitishe huduma
Hata kuandika huwezi. Nenda kwanza kajifunze kuandika.

It's very basic common sense, Elon Musk ni mfanyabishara. Hawezi toa hiyo huduma bure. Someone lazima aweze kugharamia.
 
Hakuna tajiri namba moja mropokaji kama yeye sijawai kuona ,tangu ishu za cryptos currencies daily analeta taharuki ni mtu anapenda tension sana
Jamaa tokea awe tajiri namba 1 anajikuta anaju kila anapenda kick, na hizi hasira zake ni baada ya Ukraine na marekani kuupuzia ushauru wake

Mim siwatetei marekani Ila mambo ya siasa awaachie wanasiasa hayawezi kila jambo linawenyewe siasa inawenyewe same kwa technology, sport etc
 
Ww jamaa una akili fupi sana Elon musk ni mfanya biashara na hiyo mitambo yake aiendeshwi kwa kutumia mkojo wako bali inatumia hela tena hela ndefu sana, kwa hiyo usichukulie mambo kirahisi tu.
Narudia Tena marekani wamekuambia wameshindwa kulipa
 
Hata kuandika huwezi. Nenda kwanza kajifunze kuandika.

It's very basic common sense, Elon Musk ni mfanyabishara. Hawezi toa hiyo huduma bure. Someone lazima aweze kugharamia.
Kwani marekani au Ukraine wamekuambia wanaitaka hio huduma bure
 
Narudia tena kuna sehemu imeandikwa ni ajabu, hapa tunaandika alichosema na kilichotamgazwa kwenye media, sasa sijui unabisha kuwa hakusema hivyo, au hakupeleka satelite zake kuwapa mawasiliano ukraine, au unabisha kuwa anaonge uongo kuwa mpaka sasa hajalipwa.
Hebu nieleze hapa unabisha nini au ni kosa kuzungumzia musk alichosema juu ya hayo malipo?
Brother huyo jamaa unaehangaika kumuelelkeza jinsi anavyojibu tu anaonekana kipa katoka nnashangaa unaendelea tu kupoteza muda
 
Yeye hajawapangia bali kasema walipie gharama za kuipatia huduma Ukraine maana yy hataweza tena kugharamia.
Hata hivyo kawabeba sana ni sema Ukraine haina shukurani mpaka sasa ametumia gharama ya million 80$ ambayo ni sawa na billion karibia 200 za kitanzania.
tumia akili ww , unalipa nn wkt upo kwenye vita ?
 
Back
Top Bottom