Elon Musk aanza kufanya uhakiki wa watumishi hewa nchini Marekani

Elon Musk aanza kufanya uhakiki wa watumishi hewa nchini Marekani

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Wakuu,

Taasisi iliyoanzishwa na Rais Donald Trump ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient) Bwana Elon Musk.

Sasa imepewa jukumu la uhakiki WA serikali kuu kwa watumishi hewa na wale watumishi wasiowajibika ipasavyo.

Katika kuanza Kazi yake, Bw. Elon musk ameandika kupitia ukurasa wake WA "X" kua,

"Kufuatia utelekezaji WA maelekezo ya Raisi Donald Trump, Hivi punde watumishi wote wa serikali kuu watapokea EMAIL zinazowataka kuelezea utendaji wao kazini Kwa wiki iliyopita"
Kushindwa kujibu hiyo email itachukuliwa tayari umejiuzulu"


==================================================

Federal workers across the U.S. government received an email on Saturday afternoon asking them to account for what they did in the past week — and Elon Musk says they will lose their jobs if they don't respond.


The emails arrived several hours after Musk, who is leading the Department of Government Efficiency team that has orchestrated the mass firings of at least 20,000 government workers over the past month, gave notice about the apparent ultimatum.

"Consistent with President @realDonaldTrump's instructions, all federal employees will shortly receive an email requesting to understand what they got done last week," Musk wrote on X, which he owns. The post ends: "Failure to respond will be taken as a resignation."

The emails, which NPR has confirmed, were sent by the Office of Personnel Management (OPM). They ask workers to reply and provide "approx. 5 bullets of what you accomplished last week and cc your manager," and give a deadline of Monday 11:59 p.m. ET. They ask that no classified information be shared.

OPM said in a statement that the emails are "part of the Trump Administration's commitment to an efficient and accountable federal workforce," and that "agencies will determine any next steps."

The legality of the request is questionable, given it was made directly by OPM and not by agencies themselves. Many federal workers are covered by civil service protections that prevent them from being fired without cause.

Source: NHPR

IMG_20250223_135550.jpg
 
Huu uhakiki umezua majibizano makali,

Seneta WA MINNESOTA Tina smith kaamua kumtukana kabisa Bw. Elon na kumuita "dick"

Bwana Elon nae kamjibu Kwa kumwambia amwelezee alichofanya wiki iliyopita
 

Attachments

  • Screenshot_20250223-142420.png
    Screenshot_20250223-142420.png
    287.7 KB · Views: 2
Najua kuna watumishi wa serikali mafisadi,wazembe,wezi walioko dunia ya tatu especially Tanzagiza sasa hivi watakuwa wanamchukia sana Trump na Elon kama ambavyo walimchukia Magu, maana Trump anawakumbusha mateso ambayo waliwahi kupitishwa na chuma miaka ile...
Screenshot_20250215_143040_Instagram.jpg
 
Huy
Najua kuna watumishi wa serikali mafisadi,wazembe,wezi walioko dunia ya tatu especially Tanzagiza sasa hivi watakuwa wanamchukia sana Trump na Elon kama ambavyo walimchukia Magu, maana Trump anawakumbusha mateso ambayo waliwahi kupitishwa na chuma miaka ile... View attachment 3246417
Huyu Elon na Trump Ni fagio la chuma,

Wazee WA kutoa mlungula, sijui Elon akikufikia utampa mlungula Bei gani😅
 
Back
Top Bottom