Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Trump ni ressuruction ya Magufuli iliofanyika USA🤣!!! Ni mwendo ule ule wa ubatizo wa motoNajua kuna watumishi wa serikali mafisadi,wazembe,wezi walioko dunia ya tatu especially Tanzagiza sasa hivi watakuwa wanamchukia sana Trump na Elon kama ambavyo walimchukia Magu, maana Trump anawakumbusha mateso ambayo waliwahi kupitishwa na chuma miaka ile... View attachment 3246417