Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo si ujasiri ni ujingaNajiuliza
Ni watumishi wangapi WA serikali hapa bongo wana UJASIRI wa kumkosoa au kumuita CAG - dick
Mjinga ni mama yako mzazi mbwea wewe, na Magufuli ataendelea kukuumiza mpaka unaingia kaburini falaa wewe, maana traum aliyokuacha nayo sio ya kupona leo wala kesho...Ndio maana nasema wafuasi wa JPM ni wajinga jinga. Sasa hapa unasema kuhusu majizi, unasahau Mwanyika ambaye ndio alisababisha tuingie hasara ya Matrillioni kupitia makinikia sio tu alifutiwa mashtaka bali alipewa ubunge na kufanyiwa kampeni na JPM!! ila unavyoongea hapa utadhani JPM alikua serious kupambana na wezi!!
Haya endelea kupambana na marehemu mpaka kiama chako mtoto wa kahaba wewe.Aniumize kwa lipi? Zaidi nafurahi tu maana nchi ilikua inaelekea shimoni kabisa!! Ilifika hatua hadi CAG anakatazwa kukagua manunuzi ya ndege na mfuko wa Rais!! Ila wajinga wanakwambia eti msafi!! Sasa msafi anaogopa ukaguzi wa nini? Mkiitwa wajinga mnapanic.
Anakumbukwa na nani? Mbona waliomtukana JPM ndio mmewapa uongozi huko CCM? Ona CCM wanavyompiga vijembe kila siku mngekua mnampenda si mngewakataa hao viongozi?
Haya maadhimisho ya mazishi kule chato hawakuzidi watu 200!! Nilitegemea mngejaza watu malaki.... mnampenda kwa maneno tu ila vitendo zero.
Kumchafua ili iweje kwani akiwa msafi au akiwa mchafu anafaida au madhara gani kwa chadema? Mfano 2025, mgombea wa CCM ni anti-JPM, Lissu ni anti-JPM na zitto ni anti-JPM sasa embu niambie hao wote hawampendi JPM na ndio potential presidential candidates je kupendwa kwa JPM kutamuathiri nani?
Kwa comment hii naweza ona aina ya wafuasi wa JPM yaani zero IQ kabisa alafu mkiitwa wajinga mnapanic. Jibu hoja kwanini JPM alizuia CAG asikague TGFA na mfuko wa Rais kama ni msafi?
Kumbe tumewawahi hata PEPMIS walikuwa hawana...?Wakuu,
Taasisi iliyoanzishwa na Rais Donald Trump ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient) Bwana Elon Musk.
Sasa imepewa jukumu la uhakiki WA serikali kuu kwa watumishi hewa na wale watumishi wasiowajibika ipasavyo.
Katika kuanza Kazi yake, Bw. Elon musk ameandika kupitia ukurasa wake WA "X" kua,
"Kufuatia utelekezaji WA maelekezo ya Raisi Donald Trump, Hivi punde watumishi wote wa serikali kuu watapokea EMAIL zinazowataka kuelezea utendaji wao kazini Kwa wiki iliyopita"
Kushindwa kujibu hiyo email itachukuliwa tayari umejiuzulu"
==================================================
Federal workers across the U.S. government received an email on Saturday afternoon asking them to account for what they did in the past week — and Elon Musk says they will lose their jobs if they don't respond.
The emails arrived several hours after Musk, who is leading the Department of Government Efficiency team that has orchestrated the mass firings of at least 20,000 government workers over the past month, gave notice about the apparent ultimatum.
"Consistent with President @realDonaldTrump's instructions, all federal employees will shortly receive an email requesting to understand what they got done last week," Musk wrote on X, which he owns. The post ends: "Failure to respond will be taken as a resignation."
The emails, which NPR has confirmed, were sent by the Office of Personnel Management (OPM). They ask workers to reply and provide "approx. 5 bullets of what you accomplished last week and cc your manager," and give a deadline of Monday 11:59 p.m. ET. They ask that no classified information be shared.
OPM said in a statement that the emails are "part of the Trump Administration's commitment to an efficient and accountable federal workforce," and that "agencies will determine any next steps."
The legality of the request is questionable, given it was made directly by OPM and not by agencies themselves. Many federal workers are covered by civil service protections that prevent them from being fired without cause.
Source: NHPR
M$enge sana huyu jamaa yaani kwa jinsi anavyohemkwa kila akiona jina la magufuli humu ndani angekuwa mwanamke nahisi angekuwa anapatwa na period ya ghafla...MAGUFULI haters ukilitaja tu hilo jina wanatokwa povu utafikiri wamebwia omo
We si unapotosha jamaa alikua mzalendo ndio ujibu sasa; kama JPM ni mzalendo kwanini alikataa CAG asikague manunuzi ya ndege? Na kwanini alikataa mfuko wa Rais usikaguliwe?Hayo maswali nenda kamuulize mume wako kibaraka zitto na huyo cag au wakishindwe kukujibu kamuulize mama ako.
Hahahhaha JPM lunatics!! Yaani mafisadi kina Chenge, Muhongo, Mwanyika yalineemeka kipindi cha JPM alafu waje kuumia kina zitto? Kwa access ipi ya mali za umma alizonazo zitto au mpinzani yoyote??wanamchukia sababu aliwakomesha kwenye nyendo zao chafu za usaliti za kuliumiza taifa..