Elon Musk aanza kufanya uhakiki wa watumishi hewa nchini Marekani

Elon Musk aanza kufanya uhakiki wa watumishi hewa nchini Marekani

Huy
Huyu Elon na Trump Ni fagio la chuma,

Wazee WA kutoa mlungula, sijui Elon akikufikia utampa mlungula Bei gani😅
Hao majizi,wabadhirifu,wazembe hawana la kufanya kwa Elon Musk zaidi ya kulia lia tu wakitafuta huruma na kuandamana...

Ila mwamba ndio alishaamua harudi nyuma hata kidogo na ni jasiri kishenzi, ana roho ya kikaburu.
Screenshot_20250223_150857_X.jpg
 
Kwanin wahuni?

Kuna utawala wa kihuni zaidi ya ule unaolea ufisadi?

Bila shaka wewe ni mnufaika wa tawala mbovu zilizogubikwa na ufisadi,rushwa,uzembe na matabaka.
Unaniuliza kwa nini wahuni wakati huo huo unasema mimi ni mnufaika nadhani tubaki na hilo jibu lako la mwisho maana wabongo kwa kuongea bila kuudhi au kutukana hamuwezi kabisa..
 
Unaniuliza kwa nini wahuni wakati huo huo unasema mimi ni mnufaika nadhani tubaki na hilo jibu lako la mwisho maana wabongo kwa kuongea bila kuudhi au kutukana hamuwezi kabisa..
Hivi neno mhuni alimuhudhi unapo mtamkia mwenzako au alikuhudhi unapotamkiwa wewe?
 
Taasisi iliyoanzishwa na RIASI DONALD TRUMP ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient) Bwana Elon Musk.

Sasa imepewa jukumu la uhakiki WA serikali kuu kwa watumishi hewa na wale watumishi wasiowajibika ipasavyo.

Katika kuanza Kazi yake, Bw. Elon musk ameandika kupitia ukurasa wake WA "X" kua,

"Kufuatia utelekezaji WA maelekezo ya Raisi Donald Trump, Hivi punde watumishi wote WA serikali kuu watapokea EMAIL zinazowataka kuelezea utendaji wao kazini Kwa wiki iliyopita.

Kushindwa kujibu hiyo EMAIL itachukuliwa tayari umejiuzulu"

View attachment 3246370
Mzimu wa Magu unaendesha serikali ya Marekani. Wafanyanyakazi wa serikali ya US cha moto watakiona mwaka huu.
 
Magufuli alikua mbele ya muda...
JPM hakua smart, usimlinganishe na Trump/Musk. Mfano wafanyakazi hewa aliwapunguza ila nafasi zilizokua overlapping kwa kazi moja mfano DC, DAS, Mwenyekiti wa halmashauri zikabaki vilevile. Ilipaswa aweke katiba mpya ili kupunguza nafasi zisizo na tija.

Haya kuna mashirika yanaingiliana majukumu kama Baraza la uwezeshaji kiuchumi, baraza la maendeleo ya taifa n.k ni overlapping ila hakuunganisha haya mashirika.

Yule alikua anaendeshwa na chuki tu hakudhamiria kupunguza wafanyakazi au taasisi hewa.
 
wewe jamaa ukiskiaga au kuona JPm katajwa sehemu yoyote huwa unehemkwa sana, ungekuwa mwanamke nafikiri ungekuwa unapata period ya ghalfa mara kwa mara mbweha wewe.... mtu alishakufa ila bado anakutesa tu

Comment yako imejaa blah blah ambazo hazina mantiki yoyote zaidi ya chuki za kipumbavu kwa marehemu, tunachojuq sisi Jpm alithubutu kuondoa wafanyakazi hewa serikalini ambapo kodi za wanainchi zilikuwa zinapotelea huko haijalishi hata kama zoezi hilo alilifanya kwa usahihi au si kwa usahihi, hilo suala la katiba mpya hata mama yenu kipenzi mnayemuimba sasa hivi amelipiga chini...
 
Comment yako imejaa blah blah ambazo hazina mantiki yoyote zaidi ya chuki
Blah blah kivipi wakati nimeeleza kulikua na kazi zina overalap na mashirika yanaingiliana kazi ila JPM hakuyafuta au kuunganisha!! Ni tofauti na anachofanya Musk sio tu kuondoa wafanyakazi hewa ila kufuta mashirika yasiyo na tija na kupunguza wafanyakazi wasio na tija au kazi zinazoingiliana. Sasa wanafanana vipi na huyo shetani wenu?

tunachojuq sisi Jpm alithubutu kuondoa wafanyakazi hewa serikalini ambapo kodi za wanainchi zilikuwa zinapotelea huko
Wajinga ndio aliwashika akili, sasa mwenge unakula mabilion za kodi mbona hakufuta? Mbona hakupunguza posho za wabunge? Kwenye vyeti feki mbona aliacha kina Makonda eti kisa sio nafasi ya kiutendaji!!

Yule jamaa alijua kufanya maigizo na wajinga mkaingia kingi. Hiki anachofanya Musk ndio haswaa alipaswa kufanya JPM ila ndio hivyo nchi ya wajinga hii
 
Taasisi iliyoanzishwa na RIASI DONALD TRUMP ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient) Bwana Elon Musk.

Sasa imepewa jukumu la uhakiki WA serikali kuu kwa watumishi hewa na wale watumishi wasiowajibika ipasavyo.

Katika kuanza Kazi yake, Bw. Elon musk ameandika kupitia ukurasa wake WA "X" kua,

"Kufuatia utelekezaji WA maelekezo ya Raisi Donald Trump, Hivi punde watumishi wote WA serikali kuu watapokea EMAIL zinazowataka kuelezea utendaji wao kazini Kwa wiki iliyopita.

Kushindwa kujibu hiyo EMAIL itachukuliwa tayari umejiuzulu"

View attachment 3246370
Huyo Elon na Trump wanatafuta kuuawa tu hawana lolote....wameshashiba corn flakes na maziwa.
 
Back
Top Bottom