Ungekuwa una akili timamu timilifu wala hata usingeangaika kuandika uharo wote huu MPUMBAVVU wewe,Blah blah kivipi wakati nimeeleza kulikua na kazi zina overalap na mashirika yanaingiliana kazi ila JPM hakuyafuta au kuunganisha!! Ni tofauti na anachofanya Musk sio tu kuondoa wafanyakazi hewa ila kufuta mashirika yasiyo na tija na kupunguza wafanyakazi wasio na tija au kazi zinazoingiliana. Sasa wanafanana vipi na huyo shetani wenu?
Wajinga ndio aliwashika akili, sasa mwenge unakula mabilion za kodi mbona hakufuta? Mbona hakupunguza posho za wabunge? Kwenye vyeti feki mbona aliacha kina Makonda eti kisa sio nafasi ya kiutendaji!!
Yule jamaa alijua kufanya maigizo na wajinga mkaingia kingi. Hiki anachofanya Musk ndio haswaa alipaswa kufanya JPM ila ndio hivyo nchi ya wajinga hii
Nimesema haijalishi zoezi lake lilikuwa lina ufanisi kiasi gani ila ule uthubutu tu ni hatua kubwa yakuelekea kwenye huo usahihi unaousema.. ila kwa sababu kichwa chako kimejaza chuki na makamasi umekimbilia kuandika vitu ambavyo wala hata havikuwa na ulazima kuviandika hapa...
Haya endelea kuumia hapo kisha ukimaliza uende ukamuadithie na mume wako zito kabwe kwamba huko JF kuna watu bado wanamkubali Jpm, kubwa jinga wewe.
Hili kuonesha tu wewe kimburu bado unaumizwa na Jpm angalia umeacha kabisa kiini cha hii mada na umedakia kujibu comments zilizomtaja magufuli, na dhairi ataendelea kukuumiza mpaka kufa kwako...
Halafu kwa upeo wangu nimekuja kugundua nyie wapumbaavu ambao mnajifanya eti ndio watanzania wenye akili na kudharau wengine huwa ni majizi tu na vibaraka tukianza na huyo mume wako zitto kabwe...
Yaani mtu akiwa tofauti na nyie kimtazamo tu basi huyo kwenu mnaomuona mjinga, wassenge kweli nyie na idol wako, kafie mbele huko