Elon Musk aanza kufanya uhakiki wa watumishi hewa nchini Marekani

Trump ni ressuruction ya Magufuli iliofanyika USA🤣!!! Ni mwendo ule ule wa ubatizo wa moto
 
Email tayari zishaanza kutumwa Kwa watumishi👇

Wanapaswa kuelezea Kwa point 5, mambo waliyofanya kazini wiki iliyopita.

Deadline Ni JUMATATU saa 5 asbuhi😅👇
 

Attachments

  • IMG_20250223_143619.png
    46.8 KB · Views: 2
Magufuli alikua mbele ya muda...
Sana tu, na yule mtu angezaliwa mataifa ya huko kwa wenzetu, pengine angeweza kuwa ni moja ya notable figures ambao historia yao inafuatiliwa na ulimwengu...

Mtu yule kuondoka mapema kiasi kile ilikuwa ni pigo kubwa sana kwa taifa, japo najua kuna wapumbavvu mafisadi na machawa wao huwa kila wakiskia jina lake wanapatwa na kwikwi.
 
Trump ni ressuruction ya Magufuli iliofanyika USA🤣!!! Ni mwendo ule ule wa ubatizo wa moto
Trump ni embodiment ya kiongozi imara,shupavu,mzalendo na mwenye maono.... na siku zote huwa wanakuwa na maadui wengi sana hasa wa ndani ya mataifa yao.

Ukifuatilia wengi wanaomchukia Trump ni wamarekani wenyewe hasa waliokuwa ni wanufaika wa utawala mbovu wa Biden uliokuwa umejaa ufisadi na rushwa na mambo mengi ya ovyo ovyo...

hata hapa kwetu ukifuatilia wanaochukizwa na kumpondea Trump kwanzia kwenye huu huu uzi ni machawa wa Samia, siku zote wezi,mafisadi na wazembe huwa wanazipenda sana tawala mbovu na dhaifu na wanachukizwa sana na viongozi imara na wazalendo aina ya Trump.
 
Manina zako ku.ma wewe
Huyo jamaa ni moja ya machawa ambao kwa uchangiaji wake wa mada tu humu ndani inaonesha hata form four hakumaliza, na ni obvious kama sio yeye basi baba yake ambaye alikuwa analisha familia ya nyumbani kwao alikutana na rungu la jpm, na ndio maana mpaka leo kila akiskia jina Magufuli anapatwa na tumbo la kuhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…