Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Tajiri Elon Musk aliyeteuliwa na Rais Trump kuongoza idara mpya ya Ufanisi wa Serikali, ameingia kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za bunge la Marekani kwa ajili ya kufanya kikao huku akiwa amembeba mabegani mtoto wake kipenzi anayeitwa X. Elon anamkubali sana huyu mtoto wake.
Inasemekana huyu X amepandikizwa AI system kwenye ubongo wake.
Kiufupi uwezo wa akili wa X ni mara kumi ya binadamu genious.
Hapo kwenye kikao pamoja na umri wake kuwa mdogo alielewa agenda zote za kikao na ndie anayempa elon idea mpya za kiubunifu.