Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Nakubali lakini hapa kutia chumvi sana kuna vitu tunavipokea na kuvikuza sana tofauti na uhalisia wakeNothing is impossible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali lakini hapa kutia chumvi sana kuna vitu tunavipokea na kuvikuza sana tofauti na uhalisia wakeNothing is impossible
😃Be you
Ndo ukubali ivyo ivyoNakubali lakini hapa kutia chumvi sana kuna vitu tunavipokea na kuvikuza sana tofauti na uhalisia wake
Mkuu ,nisogezee chapati mbili hapa chapView attachment 3171909
Tajiri Elon Musk aliyeteuliwa na Rais Trump kuongoza idara mpya ya Ufanisi wa Serikali, ameingia kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za bunge la Marekani kwa ajili ya kufanya kikao huku akiwa amembeba mabegani mtoto wake kipenzi anayeitwa X. Elon anamkubali sana huyu mtoto wake.
Inasemekana huyu X amepandikizwa AI system kwenye ubongo wake.
Kiufupi uwezo wa akili wa X ni mara kumi ya binadamu genious.
Hapo kwenye kikao pamoja na umri wake kuwa mdogo alielewa agenda zote za kikao na ndie anayempa elon idea mpya za kiubunifu.
Mbona link haielezei kuhusu kupandikizwa,au Mimi ndo sijaielewa hii lugha ya malkia Victoria?Nimekuwekea hiyo link iki ujue kwamba sijapost Chai hapa
Pumba tupu, hiyo AI system ni Binadamu mwenyewe ndiye kaitengeneza, nani atakubali kuzidiwa akili na kinyago alichokichonga mwenyewe?Mbona link haielezei kuhusu kupandikizwa,au Mimi ndo sijaielewa hii lugha ya malkia Victoria?
hahaHuyu jamaa nikiwa mkubwa nataka kuwa kama yeye 😎
We manyanza ndo maana kuna jukwaa walikufukuza kuleView attachment 3171909
Tajiri Elon Musk aliyeteuliwa na Rais Trump kuongoza idara mpya ya Ufanisi wa Serikali, ameingia kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za bunge la Marekani kwa ajili ya kufanya kikao huku akiwa amembeba mabegani mtoto wake kipenzi anayeitwa X. Elon anamkubali sana huyu mtoto wake.
Inasemekana huyu X amepandikizwa AI system kwenye ubongo wake.
Kiufupi uwezo wa akili wa X ni mara kumi ya binadamu genious.
Hapo kwenye kikao pamoja na umri wake kuwa mdogo alielewa agenda zote za kikao na ndie anayempa elon idea mpya za kiubunifu.
Kuna jukwaa naskia uliandika nini sijui wakataka kukupigaJukwaa lipi ? Mbona nina access na majukwaa yote ? Mimi jukwaa langu pendwa ni la Sports tena uzi wa Liverpool
Uongo uongo uongo!!!!!View attachment 3171909