Elon Musk akiwa na mtoto wake kipenzi X

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629

Tajiri Elon Musk aliyeteuliwa na Rais Trump kuongoza idara mpya ya Ufanisi wa Serikali, ameingia kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za bunge la Marekani kwa ajili ya kufanya kikao huku akiwa amembeba mabegani mtoto wake kipenzi anayeitwa X. Elon anamkubali sana huyu mtoto wake.

Inasemekana huyu X amepandikizwa AI system kwenye ubongo wake.

Kiufupi uwezo wa akili wa X ni mara kumi ya binadamu genious.

Hapo kwenye kikao pamoja na umri wake kuwa mdogo alielewa agenda zote za kikao na ndie anayempa elon idea mpya za kiubunifu.
 
Asee
 
Amepandikizwa ai
Amepandikizwa Ai eti inasemekana? Ni story za gahawa. Hawa watu majaribio hawayafanyi kwa familia zao bali kwa watu wengine.
Kwani elon hataki kuwa na akilia mara 10 ya aliyonayo? Kwanini hajaweka chip kichwani analipa watu wengine wawekewe wao?
Hizo ni story za ghahawa sheikh,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…