Elon Musk akiwa na mtoto wake kipenzi X



Yes, huyo mtoto kawekewa chip ya AI, and X is not an ordinary kid, he is super genius
 
Acha utoto basi binadamu anakuwaje programmed man

Uko nyuma sana ww na dunia ya leo



View: https://youtu.be/Gv_XB6Hf6gM?si=MnBoySWUxyCOp88e

View: https://youtu.be/DmqSYgM8QHc?si=BkKVmOQlHmJf8RRF
What does Neuralink do?

Neuralinkโ€™s mission aims to allow humans to communicate with computers through the power of thought.
 
Ee Mungu wape na hawa watoto wetu hivyo vipawa.
 
Ok nakubali niko nyuma kiongozi.Naomba unambie kwa lugha nyepesi sio kuleta article ambazo huelewi nini kinafanyika.Hiyo chip ya AI ambayo iko injected kwenye mfumo wa binadamu inakuwa activated vipi? (Nachojua hiyo chip lazima ipate electrical energy kuwa active,so which part of human body does generate electrical energy?)

Fine,inaweza kuwa injected and activated kwa binadamu but does this make him super human as you claim?(big No)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ