Elon Musk akiwa na mtoto wake kipenzi X

Wapo kwenye majaribio... Elon anampenda sana X, hivyo hawezi akamfanyia majaribio. Labda mpk pale majaribio yatakapokamilika ndo atamuwekea
 
Mkuu ,nisogezee chapati mbili hapa chap
 
Mbona link haielezei kuhusu kupandikizwa,au Mimi ndo sijaielewa hii lugha ya malkia Victoria?
Pumba tupu, hiyo AI system ni Binadamu mwenyewe ndiye kaitengeneza, nani atakubali kuzidiwa akili na kinyago alichokichonga mwenyewe?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
We manyanza ndo maana kuna jukwaa walikufukuza kule
 
Uongo uongo uongo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…