Aisee !Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD
View attachment 3269245
Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza
Hali ya sasa ilivyo sasa
In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery electric vehicles and plug-in hybrids) than Tesla.
View attachment 3269262View attachment 3269263
China jau, LHD wale. Labda watengeneze special kwaajili ya nchi za RHD.Miaka ijayo gari used kwa pande za huku kwetu nyingi zitakua ni kutoka china sio japan tena
Forever japanMiaka ijayo gari used kwa pande za huku kwetu nyingi zitakua ni kutoka china sio japan tena
Tatizo letu ni right hand drive na China left hand.Miaka ijayo gari used kwa pande za huku kwetu nyingi zitakua ni kutoka china sio japan tena
Changamoto hawana choice waliaminishawa china na usa ndo adui yao ila sasa mambo yamebadilka sasa wasipo tumia ya tesla wataenda chinaNchi zote za ulaya zimeanza kampeni ya kuzikataa Tesla baada Elon kuwazingua viongozi wa ulaya
Sema Warren Buffet alikuwa na macho makali kweli kuona potential ya BYD kipindi hicho sio kitu kidogo
Na hizo howo zinazokuja zinakuwaje nadhani kama automaker anatengeneza both aina zote kutokana na soko la duniaTatizo letu ni right hand drive na China left hand.