ELON MUSK ALIPO ULIZWA KUHUSU BYD MIAKA KAMA KUMI ILIOPITA ALICHEKA SANA ILA SASA HALI IMEBADILIKA GHAFLA

ELON MUSK ALIPO ULIZWA KUHUSU BYD MIAKA KAMA KUMI ILIOPITA ALICHEKA SANA ILA SASA HALI IMEBADILIKA GHAFLA

China ni mtu wa copy and paste,hana na wala hakuwahi kua na technology yoyote ya maana,ni mwizi TU na bidhaa zake nyingi zinazaraulika duniani.
FAKE=CHINESE PRODUCTS
 
China ni mtu wa copy and paste,hana na wala hakuwahi kua na technology yoyote ya maana,ni mwizi TU na bidhaa zake nyingi zinazaraulika duniani.
FAKE=CHINESE PRODUCTS
Bibi yako ndo Feki Product

Wazungu Nowadays wanamsujudu Mchina
 
Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD
View attachment 3269245
Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza

Hali ya sasa ilivyo sasa

In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery electric vehicles and plug-in hybrids) than Tesla.
View attachment 3269262View attachment 3269263
Alifanya kama CEO wa Microsoft wakati huo wakati akiichela iphone ya kwanza kuwa hakuna mtu wa kuinunua kwa bei hiyo ni kichekesho
 
Leo kuna watu wanaichukulia poa COMAC C919 wanasema haitaweza kucompete na Airbus na Boeing

Kufikia mwaka 2030 wataanza kutengeneza COMAC C929 large body

Tutakuwepo 🫵
Ziracompete vizuri tu. Mchina kila mahali atashika.
Ulaya wameanza kuwa na wasiwasi na ndege za kivita za marekani mfano f35 kuna nchi zimecancel order baada ya trump kuleta zengwe wanadai kuwa huenda marekani wana kill switch za hizo ndege.
Wanataka na wao waangalie jinsi ya kuunda ndege vita zao.
Competetion itaongezeka katika kila kitu
 
BYD ni nzuri na sio kuwa ni nzuri kitechnology kuliko Tesla, ila iko hivi..!!

BYD ya China ina lead in selling EV sbb in China Population is already 1.4 bil, so market ya China au idadi ya watu wa China ni mara 5 zaidi ya Marekani, sasa wanunuzi wengi wa BYD ni wachina, Malaysia, yaani mostly all Asian countries mpaka India and BYD is more cheaper kuliko Tesla

So, ki technology Tesla yuko vema sana like Apple phones vs BYD is Android phones like Samsung or Huawei or Xiaomi etc..!!

So bei za Tesla vs BYD is the selling point kubwa kwa BYD, itabidi Elon apunguze bei hata kama is better in Tech kuliko BYD..!!
 
Elon na Trump wanajazana ujinga tu mpaka wanaharibu hata biashara
 
Back
Top Bottom