BYD ni nzuri na sio kuwa ni nzuri kitechnology kuliko Tesla, ila iko hivi..!!
BYD ya China ina lead in selling EV sbb in China Population is already 1.4 bil, so market ya China au idadi ya watu wa China ni mara 5 zaidi ya Marekani, sasa wanunuzi wengi wa BYD ni wachina, Malaysia, yaani mostly all Asian countries mpaka India and BYD is more cheaper kuliko Tesla
So, ki technology Tesla yuko vema sana like Apple phones vs BYD is Android phones like Samsung or Huawei or Xiaomi etc..!!
So bei za Tesla vs BYD is the selling point kubwa kwa BYD, itabidi Elon apunguze bei hata kama is better in Tech kuliko BYD..!!