HahahahahaSayansi ya kwetu ya asili inapigwa vita.
Mfano ili suala la " kusafiri kwa ungo kutoka Sumbawanga kwenda Tanga" ingeimarishwa na kuboreshwa,Wazungu ,Waarabu na hata dunia nzima wangetupigia magoti maana gharama ya dizeli, petroli na usafiri zingeshuka.!
You are so primitive in thinking.Wateja ni kina nani wa kumpa huo utajiri?
Thamani ya hisa anazomiliki.naomba kuuliza
hivi hizo hela zinakuwa 'In cash' au??
Hahahahahahaaha , unapiga mtu spana mapema hiviYou are so primitive in thinking.
You are so primitive in thinking.
Mkubwa ni kweli humjui huyu jamaa ambae ndii mmiliki wa sayari ya Mars
Umefanya booking ya teuz Bila shakaThere'll be miracles when you believe Mr Rumplelstiltskin,
Wish you all the best, unikumbuke kwenye ufalme wako.
Sorry bro si unajua tunachangamsha forum Just jokesMimi sivuti bangi, nimeandika hapo kuonesha kuwa bangi si kama tunavyoichukulia
Hujaelewa comment yangu!Kilichonishangaza mimi ni kwamba Elon Musk alijuaje kuwa gari za umeme zitakuja kuwa na soko hadi akaanza kuwekeza hela kubwa katika mradi wake wa kuzitengeneza?Zilikuwepo tangu miaka ya 1900 mwanzoni, kilichozitoa sokoni ni kushuka kwa gharama za mafuta (petrol na diesel). Hawa wamezifufua tena kwa kuboresha teknolojia.
Picha chini ni gari ya mwaka 1898 aina ya Porsche (mbunifu akiwa ni Ferdinand Porsche)
Chanzo: The history of Porsche begins electrically
The history of Porsche begins electrically
The electric powertrain is embedded deep in the Porsche DNA.newsroom.porsche.com
Zilikuwepo tangu miaka ya 1900 mwanzoni, kilichozitoa sokoni ni kushuka kwa gharama za mafuta (petrol na diesel). Hawa wamezifufua tena kwa kuboresha teknolojia.ila kwenye hii dunia kuna vipaji vya ajabu!Imagine Elon Musk alijua vipi kuwa gari zinazotumia umeme ndiyo future cars?!
Sio kweli, hajazaliwa sauzi.It's a fact! Ana asili ya Afrika.
Uraia wa kuzaliwa: Afrika Kusini. Uraia wa kuomba (Naturalization): Marekani na Canada.
UK deadline ya kutumia magari ya mafuta ni 2030 na kwa bahadhi ya nchi za scandinavia ni 2025.Anakuja kuwa tajiri wa kudumu kwa sababu kumbuka dunia inakuja kuhama kutoka kwenye kutumia magari ya mafuta kwenda kwenye kutumia magari ya umeme na yeye ameshawahi kwenye soko tayari.Maana yake makampuni yatakayokuja kushindana nae yatapata changamoto kubwa sana!
Angekuwa bongo sa hv ana negotiate na DPP
🤣🤣🤣Sasa hivi ameanzisha shule yake isiyofundisha ujingaNasikia huyu naye ni School drop out aliacha shule akiwa darasa la 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mbona unavuta ganja umeishia kuwatukana wazazi wako matusi ya nguoni.Utajiri wake umekuja baada ya matumizi sahihi ya akili yake na wala sio matumizi ya misokoto ya bangi.
Cash na assetsnaomba kuuliza
hivi hizo hela zinakuwa 'In cash' au??
Amechagua njia nyepesi ya kujibu. Eti 'so primitive in thinking',halafu ndio kamaliza kujibu. Hapo amekwepa swali. Amemkashifu muuliza swali badala ya kulijibu swali. Amechagua object badala ya subject.
Bro utajiri wa 21century haangalii bidhaa sana,kumbuka kuna service.jamaa alinza PayPal as service provider, now he hasHuyo jamaa ana bidhaa gani au huduma gani ya kumpa utajiri huo? Wateja wake in kina nani? Kama simuamini amini