Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k
Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba moja duniani amegeuka kuwa chawa wa Trump akishinda nyumbani kwa Trump na kuongozana naye kila mahali?!
Nani ana nguvu zaidi katika dunia kati ya matajiri wa kidunia na wanasiasa ?