Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Huyu jamaa ni atheist means haamini uwepo wa mungu, hivyo huyo mungu akimbariki huyu jamaa asiyemuamini na kuacha kuwabariki nyie mnaomuamini basi huyo mungu hana akili.Kitu ambacho ndo kimebarikiwa zaidi
Jamaa na mbado ule mpango wake wa starlink mobileTajiri wa dunia Elon Musk ameivunja rekodi ya kuwa Mtu wa kwanza katika historia Duniani kuwahi kuvuka utajiri wa USD Bilioni 300, hii ni baada ya utajiri wake kuongezeka kwa USD Bilioni 10 baada ya hisa za Tesla kupanda...
Staki kujua kama jamaaa ana dini au hana nimejikita kile ameandika nikalinganisha na upande wapili. Kabla hujaninukuu soma niliyemnukuu kasemaje uwe na uelewa swala la kujua kama jamaa ni atheist linanihusu nini mimi?Waarabu a wazungu wote hawakuju wewe..
kingine huyu jamaa ni atheist, hivyo usilete mtazamo na ujinga wa dini kwenye mambo yanayohitaji utu na akili.
Huyu sio muafrika mmoja asiye na akili na upeo mfupi na kufikiria leo tu kwamba apate pesa alafu aanze kuzitumia bila sababu. Bali kuna mambo ya msingi ya kufanya zaidi ya kutumia pesa pekee, au maisha yatakuwa hayana maana.Maisha life span ni kama tumpe 100yrs badala ya kujiachia azitafune utakuta halali anahangaika ku-maintain position ya No:1
Mkuu nilipomaliza kusoma nikakimbiza akili yangu kwa binadamu anayepatikana Afrika.Wazungu pamoja na ushetani wao lkn Kwenye suala la kutoa sadaka wanaongoza..... ndiyo maana wanabarikiwa Tu
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 Haya hope watafanikiwa kwenda kuishi hukoYeye anataka kufanya human specie iwe multiplanetary sababu dunia haitakuwepo milele
Mkuu jamaa ni atheist means hamuamini mungu, sasa inakuwaje mungu ambariki mtu asiyemuamini na kumuacha anayemuani? basi huyo mungu hana akili.Kuna baraka nyingi sana kwenye kutoa sadaka.
Hapa sadaka simaanishi kanisani wandugu...
Huyu jamaa hana hata chembe ya ukarimu ni mshenzi except ni ana pesa. au nenda kwenye account yake ya twitter uone.Acha kabisa katika mambo haya kishetani kipengele cha kwanza kabisa katika kusaini mkataba wa kishetani ni lazima umsaidie msaada mtu yeyote mwenye kuhitaji aliye karibu nawe,pili ukarimu kwa kila mtu
Mshenzi? Hebu toa ushahidi kuwa ni mshenzi kwa statement hata 1 ya kishenzi aliyowahi kuitamka. Usitake watu wengine wamuone mshenzi kwa sababu wewe umemuona mshenzi, ni ushamba.Huyu jamaa hana hata chembe ya ukarimu ni mshenzi except ni ana pesa. au nenda kwenye account yake ya twitter uone.
Fikra za ajabu sana hizi.
Njaa imekuwepo tangu binadamu wameanza kujitambua, hivyo kumaliza tatizo la millennial kwa 6 Billion probability ni 0%.Tatizo jamaa walimaliza njaa hilo shirika linabidi life maana litakosa kazi😅😅😅
Aisee kwa mbaliiiiii kama upo sahihi vileeeeUshetani gani mkuu huo kama wao ndio wamemumbua shetani?
Huyu jamaa ni atheist means haamini mungu bali anaamini akili yake, sasa mungu anayembariki mtu asiyemuamini na kuacha kumbariki anayemuamini bila shaka hana akili.
Dini bado inawatafuna waafrika.
Alafu sio wote ni wanafanya ushenzi huyu jamaa ni mtu safi kabisa.
Beberu ni beberu tuu . CCM hawatakuelewa mzeeHuyu ni mtu kama wewe mkuu except amekuzidi pesa na vitu vingine muhimu..
kumuita binadamu beberu ni kukosa akili.
Chakula cha njaaKusaidia njaa au kusaidia chakula?
... kwa Tanzania of 60,000,000 population kila mtanzania anweza kununuliw kwa TZS. 11,500,000/=. Kama hiyo ndio thamni ya mtanzania basi anaweza kuwanunua watanzania wote kwa bei hiyo.Kwa hiyo huyu jamaa anaweza akanunua nchi na raia wake wote si ndio...?
Mkuu next time usijaribu kupinga kitu ambacho huna uhakika nacho, bila shaka utakuwa mgeni kwenye haya mambo jaribu kufuatilia account yake ya twitter sababu huyu genius hayupo instagram wala facebook.Mshenzi? Hebu toa ushahidi kuwa ni mshenzi kwa statement hata 1 ya kishenzi aliyowahi kuitamka. Usitake watu wengine wamuone mshenzi kwa sababu wewe umemuona mshenzi, ni ushamba.
Nasikia uyo jamaa mali yake ikithaminishwa kwa ulimwengu wa leo alikuwa ni USD TrillionaireKwahyo rekodi ya Mansa Mussa imevunjwa?
Kwa hiyo tuseme hiyo ni lugha ya kupigia magoti jamaa afungue wallet?Njaa imekuwepo tangu binadamu wameanza kujitambua, hivyo kumaliza tatizo la millennial kwa 6 Billion probability ni 0%.
Una hakika?sio tu kamzidi Bezos bali kazizidi Nchi nyingi duniani kwenye pato la Taifa la mwaka.
Definitely, pia kumjaribu elon musk ni kucheza na simba bila shaka yeye ndio atakuwa anawajaribu wao.Kwa hiyo tuseme hiyo ni lugha ya kupigia magoti jamaa afungue wallet?