Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha!

Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao wamewakataza watumishi wao kumtumia taarifa hiyo. Elon amewaambia Pentagon kama hawataki watafute kazi nyingine!

Tajiri kaburu amekamata kende za Wamarekani wote!

Screenshot_20250224-142016_X.jpg
 
Huyu anamharibia Trump. Alichukua Twitter ikiwa na thamani ya B45, leo hii imebaki na thamani B2.5 tu. Utajiri wake ni kiujanja ujanja tu kwa ama kudhulumu watu wengine au kwa ruzuku za serikali anazopinga sasa.

Wafuasi wa Trump wameanza kumchukia Trump sasa

View: https://www.youtube.com/shorts/1-yyvkKfmPs
 
View attachment 3248219

Sidhani kama atafanikiwa.

Marekani hawana Sheria inayowalazimisha Watumishi wa Umma wa nchi hiyo kuripoti kazi zao moja kwa moja kwa Mtu huyo.
 
Acha wenge, Elon amdhurumu nani?

Ruzuku gan?

Hivi umekula kiporo au
 
Sasa hivi huko Marekani inapokuja ni Trump au Elon sheria, miongozo, kanuni, utamaduni na precedences havizingatwi sana.
 
Hakuna kitu Kama hicho.

USA is not a banana republic.

Trump na Elon Musk wake mbona kila siku Amri zao au maagizo yao yanayokinzana na Sheria yamekuwa yakipingwa kila siku.
 
Trump na Elon wamenifungua macho kuhusu wamarekani, tumelishwa Sana ujinga na Hollywood, wamarekani na watanzania wote Sawa:, uvivu, ujinga, Wizi na ufisadi, figisu fitina, NK yote hayabagui rangi!

Hebu angalia ushuhuda WA huyu mama ambaye amewahi kuwa mtumishi WA umma ambao wamembiwa wajibu email za Elon kuelezea majukumu matano Tu ambayo umefanya kwa wiki au kibarua kiote nyasi!

Kiranga
 
Attachments

  • 20250224_220502.jpg
    20250224_220502.jpg
    36.8 KB · Views: 2
Acha wenge, Elon amdhurumu nani?

Ruzuku gan?

Hivi umekula kiporo au
Wewe una akili fupi sana kama kama unaandika lugha ya namna hii ni wazi kuwa hujui mambo mengi zaidi ya kujua kuwa Musk ni tajiri na moja, na hicho ndicho kinachokutosha
 
Back
Top Bottom