Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha!
Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao wamewakataza watumishi wao kumtumia taarifa hiyo. Elon amewaambia Pentagon kama hawataki watafute kazi nyingine!
Tajiri kaburu amekamata kende za Wamarekani wote!
View attachment 3248219
Acha wenge, Elon amdhurumu nani?Huyu anamharibia Trump. Alichukua Twitter ikiwa na thamani ya B45, leo hii imebaki na thamani B2.5 tu. Utajiri wake ni kiujanja ujanja tu kwa ama kudhulumu watu wengine au kwa ruzuku za serikali anazopinga sasa.
Wafuasi wa Trump wameanza kumchukia Trump sasa
View: https://www.youtube.com/shorts/1-yyvkKfmPs
Sasa hivi huko Marekani inapokuja ni Trump au Elon sheria, miongozo, kanuni, utamaduni na precedences havizingatwi sana.Sidhani kama atafanikiwa.
Marekani hawana Sheria inayowalazimisha Watumishi wa Umma wa nchi hiyo kuripoti kazi zao moja kwa moja kwa Mtu huyo.
Hakuna kitu Kama hicho.Sasa hivi huko Marekani inapokuja ni Trump au Elon sheria, miongozo, kanuni, utamaduni na precedences havizingatwi sana.
Wewe una akili fupi sana kama kama unaandika lugha ya namna hii ni wazi kuwa hujui mambo mengi zaidi ya kujua kuwa Musk ni tajiri na moja, na hicho ndicho kinachokutoshaAcha wenge, Elon amdhurumu nani?
Ruzuku gan?
Hivi umekula kiporo au