Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Mno China sasa ni nchi ya ndoto za wengi
ChaiChina bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
Progress ya China inakutesa sanaChina bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
Umesema vyemaChina ndiyo super pawa wetu mpya.
Mzee bidhaa Og za Mchina huwezi kuzipata Kariakoo wala soko la Karume.China bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
China bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
Mchina ndo amekufanya utumie iyo smartphone yako ya tecnoChina bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
Kuvutia sawa ila kuwa ndoto ya wengi hapana. Life gumu sana China graduate waliokuwa boda boda ni wengi mno.Mno China sasa ni nchi ya ndoto za wengi
China ndiyo super pawa wetu mpya.