Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
China wanakupa kulingana na pesa yako ,mzee yale majengo yao unaona ,toa pesa kama nchi zenu hizi bajeti ni ndogo basi unapewa ya size yako...Hao sio kwamba walikuwa imara ni brand zilizouza sana .China bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
China wanakupa kulingana na pesa yako.