Ukweli mchungu.
Shida ya hiyo nchi imejengwa kwa maslahi ya wachina pekee, ni nchi ya kutembea kwa issue za madeals na kuondoka si nchi ya kuishi, tofauti na nchi nyingi za kimagharibi/uarabuni ambazo mtu wa race yoyote unaweza kuishi bila shida kwa kuzingatia mila, desturi zako.
China ni business neighbor yaani ni rafiki wa maslahi pekee mambo ya kijamii baki nayo kwenu, ndiomaana haina watembeleaji wengi n'je ya wafanyabiashara.
Ni jambo zuri kwao lakini kiutalii, bata,kimbilio la watu libaki ktk nchi zisizofungamana na ujima wa kibaguzi/upendeleo kwa jamii ya wazawa pekee.
Mfano wa nchi zinazoongoza kwa mvuto na kimbilio la watu wengi ni UAE normally Dubai Emirate, France, USA, Egypt, Saudia Arabia,UK-England, Spain, Turkey, Italy German, Japan, Mexico, Greece, Thailand.
Yaani iyo nchi ya China pamoja na kuwa ni nambari mbili kwa utajiri na uchumi mkubwa duniani lkn hata Top 10 ya nchi zinazotembelewa na mvuto wa kiutalii haipo, yaani haina nafasi nzuri ya mvuto kwa wageni kama ambavyo tungetegemea iwe na fursa nyingi kwa wageni, inashindwa mpka na nchi nyingi za Ulaya ambazo tunaamini zipo ktk dead economy.
China wabaki kuwa washindani wa kiuchumi tu, mambo ya kijamii(utalii/bata) hawana level hiyo, nchi imejengwa kwa misingi ya kibinafsi&kivyao haina mvuto kwa wageni.
Hutoona mtu anatoka sehemu eti anakwenda china kula bata😁, bora uende hapo Egypt au dubai au hata india changanyikeni sio kwa hao macho mdonondo.
China is not a tourism country