Elon Musk: China inavutia sana. Ninawahimiza sana watu kutembelea huko

Sawa wana maendeleo lkn sio kihivyo kama mnavyodai humu kiushabiki, wananchi wao wengi bado ni maskini na wengine tunawaona huku uswahilini.
Hata wale kenge wanaolala nje kule marekani wakija bongo wataishia kuuza Mahindi
Ila kwa wale walivyo nalaana wataishia kua *******
 
Kiufupi China ni wazalishaji (wenye ubinafsi ndani yake).

Ila linapo kuja jambo la ku_supply kile walicho kizalisha wanaondoa ubinafsi kwa muda ili kupata masoko(consumers) na ndiyo maana hapa utapewa VISA ya siku kadhaa kwenda kununua bidhaa zao walizo produce.
 
Nenda migodini ukajionee waterpumps za made in China
 
China haijafika hapo kwa bahati. Ilijenga uwezo wa kuzalisha kwanza, kisha ikatafuta masoko duniani

Biashara ni maslahi ya pande mbili: China inauza bidhaa, walaji wanapata bidhaa kwa bei na chaguo zaidi. Nchi inayozalisha na kushindana ndiyo yenye nguvu kwenye uchumi wa dunia
 
Yaani iyo nchi ya China pamoja na kuwa ni nambari mbili kwa utajiri na uchumi mkubwa duniani lkn hata Top 10 ya nchi zinazotembelewa na mvuto wa kiutalii haipo, yaani haina nafasi nzuri ya mvuto kwa wageni kama ambavyo tungetegemea

China nchi ya tatu duniani kwa kutembelewa. Siku nyingine fanya utafiti kabla ya kuropoka
 
China ni mkoloni mpya ambaye asipodhibitiwa mapema ataiharibu hii dunia.
Wakoloni wa zamani mlishawadhibiti kwa 100% wasiibe madini?

Au ni bias kwa China tu?

Umewahi kuiona mikataba ya madini kati ya serikali ya Tanzania na makampuni makubwa ya Magharibi?
 
Absolutely indeed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…