China wanakupa kulingana na pesa yako ,mzee yale majengo yao unaona ,toa pesa kama nchi zenu hizi bajeti ni ndogo basi unapewa ya size yako...Hao sio kwamba walikuwa imara ni brand zilizouza sana .China bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
Huwezi kunielewa kwa sababu ya ushabiki maandazi lakini ukweli ni kwamba China bado wana safari ndefu sana kuja kufika yalipo mataifa ya magharibi leo kiteknolojia.China wanakupa kulingana na pesa yako ,mzee yale majengo yao unaona ,toa pesa kama nchi zenu hizi bajeti ni ndogo basi unapewa ya size yako...Hao sio kwamba walikuwa imara ni brand zilizouza sana .
China wanakupa kulingana na pesa yako.
Amka unajinyea wewe😅😅China alishapita huko ,china anakula ya hela yako..China wako mbali sana ana bomu lake bora hata upigwe na nuclear...Huwezi kunielewa kwa sababu ya ushabiki maandazi lakini ukweli ni kwamba China bado wana safari ndefu sana kuja kufika yalipo mataifa ya magharibi leo kiteknolojia.
China walipo leo ndipo mataifa ya magharibi yalipokuwa miaka ya hamsini huko.
Kwa hiyo tumekubaliana?Nani kazungumza kuhusu kuajiri graduate wote?
Tatizo ni kuilinganisha China ya leo na taswira ya China ya miaka 50 iliyopitaHuwezi kunielewa kwa sababu ya ushabiki maandazi lakini ukweli ni kwamba China bado wana safari ndefu sana kuja kufika yalipo mataifa ya magharibi leo kiteknolojia.
China walipo leo ndipo mataifa ya magharibi yalipokuwa miaka ya hamsini huko.
Ndiyo, China ina graduate wengi mno wanaofanya bodaboda. Hadi wenye master na phd wapo.Kwa hiyo tumekubaliana?
Nakubaliana nawe China inazalisha graduate wengi mno wa STEM ndio maana inaendelea kwenye sekta ya sci&tech mpala Elon anashangazwaNdiyo, China ina graduate wengi mno wanaofanya bodaboda. Hadi wenye master na phd wapo.
Kumbuka asilimia 15 ya wananchi wa China bado ni maskini na wengine ndio wale wanaokuja huku kufanya umachinga na utapeli wa kuuza bidhaa zao nyingi ambazo ni feki.Tatizo ni kuilinganisha China ya leo na taswira ya China ya miaka 50 iliyopita
China haijafika kileleni kwenye kila eneo la teknolojia, hilo ni kweli. Kama yalivyo mataifa mengine pia
Lakini kusema iko kwenye kiwango ambacho Magharibi ilikuwa miaka ya 1950 si sahihi kabisa
China leo inaongoza au inashindana kwa karibu katika maeneo kama 5G, EVs, betri, solar panels, high-speed rail, drones, manufacturing na baadhi ya AI
Migodi gani hiyo, labda unaongelea maduara ya ma-apolo kule Mererani.Nenda migodini ukajionee waterpumps za made in China
Kuna kitu unashindwa kuelewa bwana mdogoMigodi gani hiyo, labda unaongelea maduara ya ma-apolo kule Mererani.
China hakuna kazi za kubeba box au kuwatawaza wazee upate $$$Mno China sasa ni nchi ya ndoto za wengi
Tatizo la wengi hata ukiwa unachagua bidhaa Alibaba wanakosea sana. Lazima uangalie lama hiyo kampuni ni verified kwa mfano. Pia quality zinategemea ni wapi hiyo bidhaa inaenda kutumika. Wajanja huwa tunasema unaipeleka EU au USA. Lakini ukisema TZ utapewa fake. Pili Angalia na bei, good quality na bei imesimama. Tatu nunua vitu kutoka viwandani siyo kWa suppliersChina bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.
China ina cheap labour sababu wana purchasing power kubwa, si kwa sababu ya umasikini... are you serious unasema China ni masikini? China ina nyumba milioni zaidi ya 90 ambazo hazina watu.. zipo sehemu tofauti wanaita ghost cities... hio nyumba kwa Tanzania ni apartment ya kiwango. Unasemaje ni nchi masikini...Ukiona Nchi Ina cheap labour wengi hiyo bado maskini bhn.
Braza sijui hata kama ushawahi fika mataifa haya mawili...Huwezi kunielewa kwa sababu ya ushabiki maandazi lakini ukweli ni kwamba China bado wana safari ndefu sana kuja kufika yalipo mataifa ya magharibi leo kiteknolojia.
China walipo leo ndipo mataifa ya magharibi yalipokuwa miaka ya hamsini huko.
Sijui hii ni iwekeje ili iwe rahisi kueleweka! Serikali ya china Ina finance asilimia 80 kwenye Kila kitu cha china isipokuwa viwanda vya watu wa Ulaya na America, ushajiuliza Kwa Nini Hawa watu hawapeleki viwanda kwao? Trump awamu yake ya kwanza aliwapiga beat kuwa kama hawatarejesha viwanda America bidhaa zao hazitauza asilimia 60 walirejesha. Kwenye nguvu ya manunuzi mkuu America na Ulaya bado wanaendelea kuongoza sababu asilimia kubwa ndio sehemu zenye malipo ya juu.China ina cheap labour sababu wana purchasing power kubwa, si kwa sababu ya umasikini... are you serious unasema China ni masikini? China ina nyumba milioni zaidi ya 90 ambazo hazina watu.. zipo sehemu tofauti wanaita ghost cities... hio nyumba kwa Tanzania ni apartment ya kiwango. Unasemaje ni nchi masikini...
Sijaelewa vyema..Sijui hii ni iwekeje ili iwe rahisi kueleweka! Serikali ya china Ina finance asilimia 80 kwenye Kila kitu cha china isipokuwa viwanda vya watu wa Ulaya na America, ushajiuliza Kwa Nini Hawa watu hawapeleki viwanda kwao? Trump awamu yake ya kwanza aliwapiga beat kuwa kama hawatarejesha viwanda America bidhaa zao hazitauza asilimia 60 walirejesha. Kwenye nguvu ya manunuzi mkuu America na Ulaya bado wanaendelea kuongoza sababu asilimia kubwa ndio sehemu zenye malipo ya juu.
China asilimia kubwa serikali sijui chama ndio kinautajili umkubwa ambao wanajalibu kuwekeza kwenye kampuni zao.
America alirejesha asilimia kubwa ya viwanda vyake tena AmericaSijaelewa vyema..
Kwamba China walirejesha viwanda America?
Ni ya wapi hiyo...!!!!Umewajaribu hawa NTGD Pump Co., Ltd