100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Baada ya hilo mbona China ndipo inazidi kuwekeza zaidi kwenye teknolojia za semiconductors, robotics, magari ya umeme ,battries n.k kiasi kwamba hivi sasa wanashindana na makampuni ya US, Japan na EU...America alirejesha asilimia kubwa ya viwanda vyake tena America
Taja majina ya viwanda vilivyorudi AmericaAmerica alirejesha asilimia kubwa ya viwanda vyake tena America
Na bado hivyo viwanda vinaagiza critical components kutoka China ili vizalisheBaada ya hilo mbona China ndipo inazidi kuwekeza zaidi kwenye teknolojia za semiconductors, robotics, magari ya umeme ,battries n.k kiasi kwamba hivi sasa wanashindana na makampuni ya US, Japan na EU...
Mi naona hawajaikomoa China, wamempiga chura teke..
Kuna viwanda vimeenda Mexico na vingine nchi za Asia zenye gharama ndogo ya maisha kama Vietnam.. hapo lengo ilikuwa kuidhoofisha China.. lakini haijasaidia..
Unatoa kiwanda China unakipeleka Mexico ama Vietnam, kwanza umeingia gharama kuhama na bado hakuna faida iliyopatikana zaidi ya serikali kuikomesha China...
Mimi huwezi kunidanganya kuhusu Marekani kwa sababu nimewahi kuishi huko labda China ndio sijafika.Braza sijui hata kama ushawahi fika mataifa haya mawili...
Marekani anaizidi china kwa uhuru wa watu wake tu kwa sasa na uwezo wa kushawishi nchi washirika katika vikwazo,japo hili dawa yake muda si mrefu itapatikana ...
Siku china akiziweka nchi za kiarabu mfukoni jeuri ya marekani kweshnei..
Anamzunguka Marekani mdogo mdogo bila vita kwa bidhaa za viwandani...Now ndio muwekazaji mkubwa amerika ya kusini....
Hawa hawa ambao vijana wao wapo hapa wengi wanafanya umachinga na kuuza bidhaa feki.China ina cheap labour sababu wana purchasing power kubwa, si kwa sababu ya umasikini... are you serious unasema China ni masikini? China ina nyumba milioni zaidi ya 90 ambazo hazina watu.. zipo sehemu tofauti wanaita ghost cities... hio nyumba kwa Tanzania ni apartment ya kiwango. Unasemaje ni nchi masikini...
Kwanza elewa kwamba mimi sio bwana mdogo angalia profile yangu uone nina umri gani kwani sijaficha kitu na inawezekana hata baba yako akawa mdogo wangu.Kuna kitu unashindwa kuelewa bwana mdogo
Makampuni mengi makubwa ya uchimbaji madini yanayoinyonya Tanzania ni ya Magharibi
Wananunua machines na equipments za makampuni ya mataifa yao
Ni kama vile tu Civil Companies za China zinavyotumia heavy duty machines za China kwenye projects zao
Nenda kwenye projects za China popote duniani ukajionee mitambo ya China inavyofanya kazi
Swali muhimu mkuu. Si ndo hawa hawa wachina wamagharibi waliponda na propaganda kibao duniani eti ukomunisti unakandamiza kikaenda kikarudi, hadi kuunda duniani itikadi kuu mbili - ubepari na ukomunisti.
Hii ndiyo kauli ya Elon Musk kwenye ukurasa wake wa X (Twitter), mtu ambaye si mtazamaji wa mbali bali ni mfanyabiashara mwenye uwekezaji mkubwa China kupitia Tesla Shanghai gigafactory
Musk ameiona China kwa macho yake: kutoka teknolojia ya hali ya juu, viwanda vinavyofanya kazi kwa kasi ya ajabu, hadi uwezo wa kujenga miundombinu mikubwa ambayo mataifa mengi yanaweza kuota kwa miongo.
China leo ni mshindani mkubwa kwenye magari ya umeme, betri, roboti, akili bandia (AI), treni za mwendo kasi na teknolojia ya kizazi kipya
Wakati baadhi ya watu bado wanaijadili China kwa picha za zamani, China ya sasa inaonyesha sura mpya: miji ya kisasa, barabara na reli za kiwango cha dunia, viwanda vikubwa na vijana wanaoongoza ubunifu wa teknolojia
Ndiyo maana Elon Musk anasema watu waende wakaione wenyewe
Swali ni moja tu: Kama China imeweza kubadilika kwa kasi hii ndani ya miongo michache, Afrika na mataifa mengine duniani yatachukua muda gani kuamua kuingia kwenye njia hiyo ya maendeleo? China ni somo kubwa la maendeleo kwa dunia.
Mzee bidhaa Og za Mchina huwezi kuzipata Kariakoo wala soko la Karume.
China ni jambazi anachomfanya North Korea Dunia inabidi iingilie kati.Braza sijui hata kama ushawahi fika mataifa haya mawili...
Marekani anaizidi china kwa uhuru wa watu wake tu kwa sasa na uwezo wa kushawishi nchi washirika katika vikwazo,japo hili dawa yake muda si mrefu itapatikana ...
Siku china akiziweka nchi za kiarabu mfukoni jeuri ya marekani kweshnei..
Anamzunguka Marekani mdogo mdogo bila vita kwa bidhaa za viwandani...Now ndio muwekazaji mkubwa amerika ya kusini....
Are you mad ?China ni jambazi anachomfanya North Korea Dunia inabidi iingilie kati.
Ananufaika na vikwazo vya North Korea kwa 100%.
Bidhaa zote za North Korea zinapitia China.
Wafanyakazi wa viwandani wana tokea North Korea.
Hivyo North Korea akipunguziwa au kuondolewa kabisa vikwazo China itaanguka.
Huo Uchumi wa China in reality ni backup ya Uchumi wa North Korea.
Hili waga watu wamekaririshwa tu lakini hua ni uongo mtupu.Mchina anakutengezea bidhaa kutokana na pesa yako na hata hivyo inakua bei nafuu kulinganisha na nchi nyengine japokuwa ubora unakua ule ule mchina atabaki kua namba moja
Je Ulaya haina jobless graduates wengi!?Ndiyo, China ina graduate wengi mno wanaofanya bodaboda. Hadi wenye master na phd wapo.
Na hapo ndio tofauti inapokuja, mzungu mzungu tuuChina bado wana kazi kubwa sana ya kuja kutengeneza bidhaa bora na zenye uimara kama nchi za magharibi zilivyokuwa zikitengeneza wakati China ikiwa bado wachoma mahindi.
Juzi tu kuna kampuni moja ya China ilikuwa inaniomba niwatafutie soko la Submersible Water Pumps hapa Tanzania hasa kwenye migodi lakini nikawaambia ni vigumu sana kwa pampu za kichina kushindana na zile za nchi zilizoendelea kama Franklin Electric (USA); Wilo (Germany); Grundfos (Denmark); Zylem (USA); Tsurumi (Japan); DAB (Italy); Godwin (England) or Sulzer (Switzerland) because all this have two to three years warranty which the Chinese pumps conspicuously lack.
Nina mifano mingi tu kuhusu bidhaa nyingi za China na changamoto zao za ubora.