Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Mimi nawafahamu wengi waliokuwa na hofu kubwa sana na Corona na hawakufa, wako wanaishi mpaka leo.
Kilichokuwa kukiua watu ni HOFU Si CORONA.

It was a spell ya kichawi.
 
Wale haters wa Magufuli watapita kimya kimya kama wanaaga maiti
Magufuli alikuwa shetani na nusu. Lkn katika hili nilimuunga mkono hata kabla hajafa.

 
Huo ujinga ndio ulifanya raia wafe, ifikie mahali tuwekane waz kua hiki ni hatar tuchukue hatua!! Unamwambia raia aondoe hofu kaugonjwa kadogo? Tushukur MUNGU san kwajins alivyotuumba ngozi nyeusi inahimili maradhi type hizo!!
MUNGU huwapa maono watu
Ndivyo alivyompa uono magufuri 7bu alikuwa kiongozi
Hvyo unavyosema tumshukuru MUNGU ndivyo MAGUFURI alivyotutaka wote tumuombe MUNGU
Si kwamba MAGUFURI alikuwa na UPAKO LA HASHA
Ni yeye kupenda kumtanguliaza MUNGU kwa kila jambo
Hvyo tunamshukulu MUNGU kwa kumpa Aliyekuwa RAISI wetu maono akagundua kuwa akisema afate hila za MABEBERU wananchi wangepata tabu wangeteseka wangekufa

Hvyo tunarudi palepale MAGUFURI katika hili anastahili SIFA na atakumbukwa katika HISTORIA ya Dunia kwa msimamo wake DHIDI ya COVID 19
 
Hata Papa aliyefuata ushauri wa mebeberu hakupewa uono na Mungu??
 
Hata Papa aliyefuata ushauri wa mebeberu hakupewa uono na Mungu??
Si kila anayekemea kwa JINA la YESU basi humaanisha YESU CHRISTO WA NAZARETH
ukiona MCHUNGAJI anakemea na kutaja kwa KWA JINA LA YESU CHRSTO WA NAZARETH basi anamaanishwa YESU CHRISTO WA NAZARETH haswaa

kuwa MCHUNGAJI PADRI and BLAHBLAH
Haimaanishi kuwa ndio kuwa una UPAKO wa KIROHO haswa ni wachache waliobalikiwa na MUNGU na KUTEURIWA na hupigwa VITA haswa
 
Kuna kipi strange mzee? Issue ya COVID ni moja ya viruses ambazo wanatengeneza maradhi, but haimaanishi uyadharau na kuita kakorona wakat it kills!!!
Hujachanja mpaka leo unadunda tu kenge ww... achanane na roho za chuki takataka... corona was a big pharma business hilo halina ubishi.
 
Hata Papa aliyefuata ushauri wa mebeberu hakupewa uono na Mungu??
CDM walisisitiza tupigwe lockdown, na Mbowwee akachanja kimchongo.

Kilichofuata, ilibidi Kila mtu atumie akili yake.

Kila zama na mtawala wake, Magu alitufaa Kwa zama zile kwakweli.
 
It was not Corona that killed Magu!

He sacrificed his life for Tanzanians.

Mwaka huu, locks will be UNLOCKED!!!!
Sacrificed himself for Tanzanians to whom?

Who needed his sacrifices anyway? For what?
 
Sacrificed himself for Tanzanians to whom?

Who needed his sacrifices anyway? For what?
KENGE katika ubora wako.

Hoja hapa ni kwamba Covid 19 ulikuwa utapeli? Wewe KENGE mlamba mashudu umekomaa na ujinga ujinga tu.

KENGE
 
Then wanaosema Magu, Mkpa n etc ile circle yake iliondoka kwa huu mchongo watuambie ukwel, y they took them out .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…