Ungekuwa na akili ningekushauri uzitumie,Tuna wapuuzi humu alafu wakiletewa elimu kuhusu sayansi wanakaa kimya.ukiwauliza hivi vyote mnavotumia ni uongo wanabaki kujibalaguza.
Hii nchi ni wajinga sana alafu ndio wanakwenda hospitali wanapewa dawa, wanatibiwa ila utawasikia wakipinga taaluma.
Kuna wengine walikufa kwa covid, wengine magonjwa mengine wengine chanio ya covid so ilikua ni multiple factors.saSa watu waliokufa kwa mamia walikufa kwa ugonjwa gani?
Hii ni hear say tu mkuu.Lakini COVID ikapaita nae
Hapa tunazungumzia covid, hayo mambo ya sayansi ni mambo mengine. Jikite kwenye mada.Tuna wapuuzi humu alafu wakiletewa elimu kuhusu sayansi wanakaa kimya.ukiwauliza hivi vyote mnavotumia ni uongo wanabaki kujibalaguza.
Hii nchi ni wajinga sana alafu ndio wanakwenda hospitali wanapewa dawa, wanatibiwa ila utawasikia wakipinga taaluma.
Mbona mi nilipata hofu na. SikufaKilichokuwa kukiua watu ni HOFU Si CORONA.
It was a spell ya kichawi.
Sa Mzee pohamba mpaka leo hujui juu ya propaganda za dunia kwa maslah fulani!!Hao waliokuwa wanatutisha kuwa ikifika May 2020 Africa itaanza kuokota mizoga ya watu waliokufa kwa Corona kwa kuwa kila sehemu patakuwa pamejaa hawakujua kuwa ngozi nyeusi zinahimili magonjwa?
Noma sanaaaa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2527754
Huna hoja, nimesoma comments yako ya mwanzo nikagundua hilo ndo maan ckutaka kuendelea na kukupa elimu cz ungeishia kuandika kama hiki ulichoandika hapa!! Endelea kukua na kujifunza then yaezekana badae ukawa mtoa hoja mzur, but for now wee bado san.Matako kama wewe ndo mnaishia kuva rainbaw outfit.😆😆😆
Kwani hizo chanjo zimetoka kanisani au mskitini ?Hapa tunazungumzia covid, hayo mambo ya sayansi ni mambo mengine. Jikite kwenye mada.
Wewe unaijua sayansi kuliko Elon? Sayansi gani unajua wewe umekariri mkaratasi, ungevumbua ama kugundua ama kutengeneza nini na sayansi yako unayoijua?
Ukiumwa unakimbilia wapi ? KutibiwaUngekuwa na akili ningekushauri uzitumie,
Hivi MAFUA na CHANJO wapi na wapi?
Mafua na lockdown vinahusiana vp,
Kuku wa kisasa tunaofuga majumbani Huwa wamefungiwa, lockdown hiyo Imewahi zuia mlipuko wa UGONJWA wa mafua unakuja Kwa njia ya hewa?
Mbona kuku huugua wakiwa ndani?
Hao unaowaita WASOMI, waliwafungia watu wao ndani Ili kuepuka UGONJWA unaosambaa Kwa hewa.
Magu was an Angelou's being.
Mataifa yote wanaendelea kukiri kuwa Tanzania palikuwa na mtawala aliyeongozwa na Mungu.
Nionyeshe alipo huyo magufuliNa wepia ni moja ya wajinga na wajuawaji wabishi.
Si unasema wazungu waongo sasa mbona kingeu unakubari kuwa ugonjwa hupo
Ugonjwa unatibika wapi na unachunguzwa na nani ? Wanasiasa .Hapa tunazungumzia covid, hayo mambo ya sayansi ni mambo mengine. Jikite kwenye mada.
Wewe unaijua sayansi kuliko Elon? Sayansi gani unajua wewe umekariri mkaratasi, ungevumbua ama kugundua ama kutengeneza nini na sayansi yako unayoijua?
Kutibiwa au kuchanja?Ukiumwa unakimbilia wapi ? Kutibiwa
Nilitaka nikujibu, ila ID name yako inatosha kuonesha upeo wa ufahamu wako, huna hadhi ya kujibiwa, endelea kutukana.KENGE katika ubora wako.
Hoja hapa ni kwamba Covid 19 ulikuwa utapeli? Wewe KENGE mlamba mashudu umekomaa na ujinga ujinga tu.
KENGE
Au sio?? Sawa sikubishiiHakuna cha deep state. Magufuli alifunuliwa na Mungu.
Kwamba ndo hao hao walishauri tuchanje watu wetu baada ya Magu kuondoka?Usilolijua ni sio Magufuli lakini deep state ambayo inaendesha nchi ushauri wao ulichukuliwa. Magufuli alikuwa tu mtekelezaji na kwahilo tumsifu maana hawa watu wa deep state wanashauri mengi lakini wanasiasa wengine uchwara wanaamua kuwaIgnore.