eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Moja Kati ya watu wapuuzi ni mwandishi ππ.
π Usikute ana kaa kwa shemeji yakeπππ€
πMtu ana project ambazo ziko wazi, magari ya umeme nayo Ni free Mason ππ€
πBarabara ya chini kwa chini nayo Ni free masson ππ€
πSafari za anga nazo ni free Masonπ€π
π Tweeter na Facebook lengo SI dunia ikonect we una hisi nini??
πHalafu usikute dogo ana kaa kwa shemeji, na mla nyeto mkubwa mshamba_hachekwi π€
Huna haja ya kupambana naye, yeye ameamua kuishi katika ulimwengu wa kufikirika. Anaongelea kuhusu freemason, wakati hata maana yake haijui.
Ameongelea vitu vya kawaida sana katika kujiepusha. Mfano anasema usiweke utambulisho wako kamili katika mitandao ya kijamii. Hilo tangu hii mitandao inakuja tulisha elimishwa hapo. Na ndiyo maana tunawashauri vijana wasiwe waraibu wa mitandao na kuweka bayana maisha yao ya kawaida. Ni hatari, maana watu wasio na malengo mema wanaweza kuzitumia visivyo.