NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia
Anaandika Trump
Pongezi ziende kwa Elon Musk kwa maamuzi ya kuinunua Twiter, Watu wengi wanasema mabadiliko yalihitajika kwa sababu uongozi wa zamani uliipa kipaumbele ajenda za kuwa woke
Nimejuzwa kwamba account yangu itarudishwa upya jumatatu - tusubiri tuone. Nafurahi kujumuika twitter na ElonMusk, mmarekani mwafrika.