Elon Musk kuifungua Account ya Donald Trump Jumatatu

Elon Musk kuifungua Account ya Donald Trump Jumatatu

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925


Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia

Anaandika Trump

Pongezi ziende kwa Elon Musk kwa maamuzi ya kuinunua Twiter, Watu wengi wanasema mabadiliko yalihitajika kwa sababu uongozi wa zamani uliipa kipaumbele ajenda za kuwa woke

Nimejuzwa kwamba account yangu itarudishwa upya jumatatu - tusubiri tuone. Nafurahi kujumuika twitter na ElonMusk, mmarekani mwafrika.
 
... wale ma-CEO wahindi wa twitter ya zamani walikuwa wapumbavu sana; bora Elon kawatimua.
Elon harembi, anachukua maamuzi fasta,,

hawa ndio ma ceo kawasepesha

1666979467618.png
 
Elon harembi, anachukua maamuzi fasta,,

hawa ndio ma ceo kawasepesha

View attachment 2400692
Hata hivyo wamemjambisha. Kwasababu si alijifanya kiherehere kusitisha kununua? Wakampeleka Mahakamani kumlazimisha kununua jamaa akakomaa lakini ikamlazim tu anunue kabla ya leo kesi kuanza kusikia zwa. Na wote hawa walishajua haka kiherehere (mwafrika uchwara) akiinunua watapoteza kazi.
 
Mkuu hata kama kawatimua wanaondoka na package ya kutosha ya zaidi ya 200 m usd.
... unaweza kuwa uko sahihi ila kwa nafasi walizokuwa nazo package hiyo inaweza kuwa ya kawaida sana; sema umasikini wetu huku ndio unatufanya tuione kama zaidi ya mbingu ya saba! But for sure usishangae wakaenda ku-complain mamlaka husika kwamba wamepunjwa!
 
... unaweza kuwa uko sahihi ila kwa nafasi walizokuwa nazo package hiyo inaweza kuwa ya kawaida sana; sema umasikini wetu huku ndio unatufanya tuione kama zaidi ya mbingu ya saba! But for sure usishangae wakaenda ku-complain mamlaka husika kwamba wamepunjwa!
Bilioni mia nne hizo mzee
 
wapo kama wanne wamechomolewa, hio 200m sio ya kila moja bali wanagawana..

ni pesa ndogo sana ukilinganisha na powe wliyo kuwa nayo ya kui controll twitter,

pesa ni mtoto kwa power, power ndio baba lao
wapo kama wanne wamechomolewa, hio 200m sio ya kila moja bali wanagawana..

ni pesa ndogo sana ukilinganisha na power waliyo kuwa nayo ya kui controll twitter,

pesa ni mtoto kwa power, power ndio baba lao.
Wewe umeelewa; given our poverty is really hell of money but regards their position and power is just a peanut!
 
Kwa nafasi walizokuwa nazo wangetamani baada ya kufukuzwa wakaanzishe twitter yao! With that money can they achieve their dreams? Umaskini kitu kibaya sana; tunawaza kimaskini ndio maana tunapishana thinking!
Unajua Elon musk amenunua Twitter bila kupenda Bali kwa kulazimishwa na uongozi wa Twitter CEO aliyefukuzwa akiwemo penda kuwa unafuatilia mambo usiwe unaropoka ropoka

Kama Twitter ingekua na faida sana uongozi wa Twitter usingemlazimisha musk ainunue
 
Back
Top Bottom