bianca2023
Member
- Apr 6, 2023
- 98
- 222
Mwanaume kupata watoto na mwanamke ni jambo ambalo halizuiliki na ni ngumu sana mwanamke kuweka mgomo eneo hilo sababu hata yeye anataka mtoto.
Shida ni nyie wanawake kugeuza mahusiano fursa ya kujipatia kipato ili kutatua shida zenu ambazo ukizitazama hazina umuhimu wa kupewa kipaumbele kwa namna nyie mnazipa kipaumbele.
Sisi wanaume hatuna shida kuishi na mwanamke akiwa anajitambua na hana drama za kitoto, awe focused kwenye maisha tu na sio kuchuna mwanaume, kufuja pesa zake, kulazimisha mahitaji yake binafsi kuwa kipaumbele kwa mwanaume, kulazimisha attention hata muda ambao anatakiwa kuprovide space ya kufanya mambo mengine ya kifamilia, etc.
Hizi kero ndizo zinatufanya wanaume tuone mzigo sana kudeal na wanawake binadamu sababu Wanawake ninyi mnaona kuwa kuleta drama, visa, maghubu, vituko, na fujo kwenye mahusiano ni sehemu ya mahusiano jambo ambalo si kweli.
Sasa ngoja bwana Elon Musk atutengenezee pisi zetu hizi. Nakuwa nae kabatini. Mwanamke akileta za kuleta nalitoa kabatini, naliwasha natandika godoro tunaanza kupeana utamu. Sitaki kelele wala kuingiliwa na "my wangu robot"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dadek nimecheka huko mwishoni
Mkuu mahusiano yamekufanyq nini