Elon Musk: My wife is a Robot


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dadek nimecheka huko mwishoni
Mkuu mahusiano yamekufanyq nini
 
Jamani hawa wazungu wanacheza na ubinadamu mradi kwao ni biashara. Ngoja muone serikali za magharibi wakianzisha ndoa za robot kama zile za jinsia moja. Kisha usije shangaa ndoa zikifungwa makanisa ya huko ulaya. Halafu wajinga huku afrika wataambiwa eti ni haki za binadamu kisha wataingiza siasa kutetea🤣😂🏃🏃😪😎
 
Kwa marobot hutaona watu wakipinga, mbna ndo watashangilia sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeinukuu mahali, nikaiweka kamusini ili isomeke kwa lugha ambayo wanawake wote wakipita hapa wataielewa vyema kabisaa

-----------------------------------------------------------------
ELON MUSK KUZINDUA MKE ROBOTI

Bilionea Elon Musk na kampuni yake ya Teknolojia wako katika hatua za mwisho za kutengeneza Mke Roboti ( Robot Wives) na uzinduzi Rasmi unatarajiwa kuanza Septemba 2023 na Kwa Nchi za Afrika watapatikana kuanzia mwezi Novemba 2023.

Mke Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.
Roboti itagharimu karibu Kwa kiasi cha USD $3,144 ambazo ni sawa na Pesa za Tanzania Shilingi 7,416,026.

------------------------------------------------------------------

Ngoja nikachukue mkopo wa kununua wanawake wawili wa bandia

Hapa hakutokuwa na habari za vizinga, midomo mirefu, uchepukaji wala kunyimwa mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…