DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hii ndio nilikuwa naisuburi kwa hamu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Watutengenezee yale yenye mizigo mikubwa ya kibantu tunayopenda watu wa Africa. Yaani ayajazejaze nyama huku nyuma maana sisi ndio tunapendaga hiyo.
Itabidi ajue soko la AfricaWatutengenezee yale yenye mizigo mikubwa ya kibantu tunayopenda watu wa Africa. Yaani ayajazejaze nyama huku nyuma maana sisi ndio tunapendaga hiyo.
Atakata moto na mjeledi unasiwe deep inside, utasubiri majiran waliweke chaji siku tatu ndio lifunguke uchomoe kikojoleo chakoNamsubiria mchina kwenye copy najua wakichina atafika kwenye mia6 ,manake kwanza ncheke maana bot wakichina anaweza kukata moto wakati unapiga mambomambo Mara low betri please charge
Ukute robot atazaa🤔Wanawake hatuna umuhimu tena, labda kupitisha watoto tu
AiseeWatayawekea na gubu? Maana kuna raha zake mwanamke usiku ana gubu unamtandika haswa gubu lote linayeyuka anabaki tu yaani wewe.......
Mkuu, kumreplace mwanamke sio jambo rahisi. Wameumbwa kipekee sana.Aisee
Sio mwanamke tu mkuu, binadamu yeyote huwezi kumreplace, ni vile tu tumepewa kusahauMkuu, kumreplace mwanamke sio jambo rahisi. Wameumbwa kipekee sana.
KweliSio mwanamke tu mkuu, binadamu yeyote huwezi kumreplace, ni vile tu tumepewa kusahau
Hahaha...Namsubiria mchina kwenye copy najua wakichina atafika kwenye mia6 ,manake kwanza ncheke maana bot wakichina anaweza kukata moto wakati unapiga mambomambo Mara low betri please charge