Elon Musk: My wife is a Robot

Elon Musk: My wife is a Robot

Watayawekea na gubu? Maana kuna raha zake mwanamke usiku ana gubu unamtandika haswa gubu lote linayeyuka anabaki tu yaani wewe.......
Hizi specifications ni hatari
Nafkiri jamaa atoe kwanza draft robot wabongo mtoe specs zenu kwanza[emoji1787][emoji1787]
 
Robot Wife will use batteries that last in accordance with menstrual circle. Batteries will only be charged for full three days and operate for a month. Sex with a Robot Wife will require a Password, Pattern or Fingerprint to avoid tempering with. The Robot will cost at around R60 000 to R150 000 depending on the specs.
Haya kazi kwao wenye majivuno na maringo wataishia kujipitisha mtaani
 
Hizi specifications ni hatari
Nafkiri jamaa atoe kwanza draft robot wabongo mtoe specs zenu kwanza[emoji1787][emoji1787]
Batteries will only be charged for full three days and operate for a month. Sex with a Robot Wife will require a Password, Pattern or Fingerprint to avoid tempering with.
Nahisi suala la body temperature litakuwa facilitated na battery ila hajasema suala la lubrication litakuwaje
 
Kuna raha yake mwanamke anaponionea wivu, Kuna raha yake pale tunalumbana na kupatana, Kuna raha yake mwanamke anaponionesha madeko, Kuna raha ya kipekee tunapokaa na kujadiri mustakabali wa mambo yanayotuzunguka. Kuna raha yake ninaposhikwa ni kimuhemuhe kuona mwanamke wangu anavyotamaniwa na wakora anavyotembea, anavyoshirikiana na kuongea na watu wengine. Mungu aliweka haya yote ili kuufanya upendo kati ya jinsia mbili ubaki wa KIPEKEE. Robot hawezi kuyafanya haya yote so daima nitampenda mwanamke halisi na hata kuwafundisha watoto wangu kubaki katika NATURALITY.
 
Back
Top Bottom