Kuna raha yake mwanamke anaponionea wivu, Kuna raha yake pale tunalumbana na kupatana, Kuna raha yake mwanamke anaponionesha madeko, Kuna raha ya kipekee tunapokaa na kujadiri mustakabali wa mambo yanayotuzunguka. Kuna raha yake ninaposhikwa ni kimuhemuhe kuona mwanamke wangu anavyotamaniwa na wakora anavyotembea, anavyoshirikiana na kuongea na watu wengine. Mungu aliweka haya yote ili kuufanya upendo kati ya jinsia mbili ubaki wa KIPEKEE. Robot hawezi kuyafanya haya yote so daima nitampenda mwanamke halisi na hata kuwafundisha watoto wangu kubaki katika NATURALITY.