Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk.
Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?