Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Mabepari wameinyakua tayari wanamaliza mchakato tu waifungue meanwhile kama umeopoa kitu chako cha fasta fasta posta pale watoto wa maofisini basi nenda pale ukapate dormant embassy hotel room service.
Pmwasyoke unaongelea ka ugonjwa gani?
Mkuu ukiangalia location ya hoteli katikati kabisa mwa jiji la Dar! Sioni justification ya kutopata muwekezaji kwa muda mrefu hivi,hata kama kumekuwa na kesi lakini sidhani kama uelekeo wa hiyo kesi unaweza kuwa threat kiasi hiki.kama wameshindwa zigeuzwe hosteli za chuo kama mzumbe au IFM kieleweke! Majengo yanakufa bure tugeuze matumizi yake.Anasubiriwa mwekezaji wa kuja kuzifufua, nahisi atatoka bara hindi au arabuni.
kuna Wawekezaji Wazawa walinunua Embassy Hotel but awana pesa ata za kumalizia deni na ata la kuwalipa mafao wafanyakazi wake.
ununuaji similar na ule wa UDA na Simon Group.
jamani tusiharubu matumizi ya lugha pendwa ya kiswahili, hapo kwenye red usahihi ni HAWANA SIYO AWANA, NI HATA NA SIYO ATA, ATA NI UNGA WA NGANO WENYE RANGI YA BROWN
TUENZI LUGHA KWA KUANDIKA SAHIHI
Mkuu ukiangalia location ya hoteli katikati kabisa mwa jiji la Dar! Sioni justification ya kutopata muwekezaji kwa muda mrefu hivi,hata kama kumekuwa na kesi lakini sidhani kama value ya hiyo kesi inaweza kuwa threat kiasi hiki.kama wameshindwa zigeuzwe hosteli za chuo kama mzumbe au IFM kieleweke! Majengo yanakufa bure tugeuze matumizi yake.