kazikubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 597
- 148
Hoteli ya Embassy ambayo ipo posta jijini Dar imeshazungushiwa uzio kama dalili ya mabadiliko fulani. Hoteli hii ilikuwa sokoni kitambo tu. Mwenye habari atujuze kinachoendelea kuhusu mmiliki na je watavunja na kuweka SKY Mark au ndiyo yale mabox yanapigwa rangi tena?
Two years ago kulikuwa na huu mjadala Nini haswa tatizo la iliyokuwa Embassy Hotel??
Two years ago kulikuwa na huu mjadala Nini haswa tatizo la iliyokuwa Embassy Hotel??