Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mkuu wangu Heshima yako. Kuhusu Peguot House umepata ila Maisha Club umebug men...Mkuu kwa nia njema tu peguot house iko pale mataa ya bibi titi na ohio pale juu kuna ofisi za bank ya Barclays,Maisha club kabla hujafika kilima nyege kuelekea barabara ya chole ukitokea mataa ya oysterbay shule,na Embassy hotel mkuu iko hapa opp na Imalaseko supermarket kabla hujafika PPF tower.
maisha club ipo sehem ambayo inawezekana unapita kila siku rudi tena kafanye research yako... Umeona kwenye miji kama hii sehem unaweza ukawa unaipita kila siku ila hujui...
Jumapili njema kiongozi..
Mkuu si unaona mimi mara kibao napita hapo imalaseko ila sikujua kuwa embasy H iko hapo japo nishawahi kuiskia sana