kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 325
Hihihi can i text u???kupita hapo,thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hihihi can i text u???kupita hapo,thanks
Maisha club imehama muda mrefu mkuu...ipo jengo jipya nyuma ya millenium tower hapo makumbusho inaitwa MAISHA BASEMENT
Ipo Dodoma, kwikwikwiSasa tuambie ww ilipo,nina mashaka na uwepo wako mkuu mjini naona ulikuwa unasikia tu maisha na uli yokuja likizo ukaenda na sasa unaleta ubishi humu.
Whats your point? Maisha club imekufa now kuna Maisha basement? Basi sawa.Mkuu mbona mimi naona kiusahihi Maisha Club kama Maisha Club haipo tena na pia haikuhamia LAPF Millenium Tower? Kama kuna kitu kingine kilichofunguliwa kwa jina la Maisha Basement na wamiliki walewale wa iliyokuwa Maisha Club haimaanishi kwamba Maisha Club imehamia LAPF Millenium Tower. Unless tunataka kupaita hivyo kama "sobriquet" kutokana na mazoea na imani kwamba wamiliki wa iliyokuwa Maisha Club ndiyo walewale na huku Maisha Basement na kwamba kilichokuwa kinapatikana huko ndicho kinachopatikana Maisha Basement ili kusaidia kwenye marketing strategy.
Exactly. That's my point. I hope you'll agree with me that Maisha Club became extinct a couple of years back.Whats your point? Maisha club imekufa now kuna Maisha basement? Basi sawa.
Nope. Still the same company just location of one club has changed.Exactly. That's my point. I hope you'll agree with me that Maisha Club became extinct a couple of years back.
Mkui ni sawa na mtu akukute pale uhuru freight akuulize umuelekeze ilipo hotel ya movern pick... Bila shaka jamaa atamuambia kuwa hio hotel haipo... Kiukweli haipo ila kiuhalisia na kwa hali ya kawaida watu wengine ubishi upo kwenye damu.Whats your point? Maisha club imekufa now kuna Maisha basement? Basi sawa.
Oooh. Basi poa mkuu. Pamoja.Nope. Still the same company just location of one club has changed.
Kiongozi mbona pale waliweka tangazo kuwa wamehamia LAPF makumbusho?Mkuu mbona mimi naona kiusahihi Maisha Club kama Maisha Club haipo tena na pia haikuhamia LAPF Millenium Tower? Kama kuna kitu kingine kilichofunguliwa kwa jina la Maisha Basement na wamiliki walewale wa iliyokuwa Maisha Club haimaanishi kwamba Maisha Club imehamia LAPF Millenium Tower. Unless tunataka kupaita hivyo kama "sobriquet" kutokana na mazoea na imani kwamba wamiliki wa iliyokuwa Maisha Club ndiyo walewale na huku Maisha Basement na kwamba kilichokuwa kinapatikana huko ndicho kinachopatikana Maisha Basement ili kusaidia kwenye marketing strategy.
Mkui ni sawa na mtu akukute pale uhuru freight akuulize umuelekeze ilipo hotel ya movern pick... Bila shaka jamaa atamuambia kuwa hio hotel haipo... Kiukweli haipo ila kiuhalisia na kwa hali ya kawaida watu wengine ubishi upo kwenye damu.
Hii maisha iliyopo lapf ndio ile ile ya zamani na ndio imehishiwa pale regardless majina yamebadilisha it doesnt matter..
kituo cha mafuta kilikuwa bp mkuu sijui siku hizi,then maisha club then tingatinga,kabla haijawa maisha club pale kulikuwa swimming pool na fast food ambazo zilikua branch za hotel Karibu.Sasa Maisha club nimebugi wapi?unajua shule ya sekondari Oysterbay ilipo?ngoja nikuelekeze utaelewa tu,ukitoka St.Peter kabla mataa ambayo sasa hayapo unanyoosha hiyo barabara kuna hotel jina limenitoka sasa kabla hujafika hicho kilima na kabla ya kituo cha mafuta Puma na ni upande huo huo wa shell ndipo maisha ilipo,kuna watu watasaidia ninachokwambia.
Motel Agip PALE NYUMA YA NEW AFRICA HOTEL,Kwa ujumla hizi ndo zilikua hotel za wajanja,mwenye hotel alihamishia hisa zake zote Sheraton ilipoanza na ndio kifo cha mende cha Agip.Mimi sina uzoefu sana na jiji la Dar es Salaam kwa miaka ya nyuma. Nililetwa na mbio za mwenge (aaah aah). Hivyo nauliza. Hii Motel Agip, Motel Afrique na Maggot Hotel vilikuwa mtaa gani?
Hujui Embassy Hotel ipo wapi afu unajifanyaga mjuaji kweli, kama umekasirika njoo sehemu zifuatazo utanikuta:-Embassy Hotel iko wapi?
Kabla ya kuwa Maisha club ilikuwa inaitwa MAMBO CLUB unapita swimming pool ndio unaingia club....ilikuwa maarufu kwa house music.kituo cha mafuta kilikuwa bp mkuu sijui siku hizi,then maisha club then tingatinga,kabla haijawa maisha club pale kulikuwa swimming pool na fast food ambazo zilikua branch za hotel Karibu.
ndio mtoto wa Malechela IPY akishirikiana na mtoto wa familia ya wamiliki wa karibu hotel akiitwa Jehangir km sikosei ndio wakaanzisha club maisha.
Maggot yale majengo ya marehemu Amir Jamal sio?. Motel Agip nayo ilikuwa maeneo hayo hayo mitaa nishaisahau mkuu, chini yake karibu lilikuwa na kituo cha mafuta. Motel Afrique Kama sikosei ilikuwa pale karibu na telephone house, pia kulikuwa na ile Dsm super market pale na opposite yake ilikuwepo Ushirika club enzi za toto disco!. Nadhani lile jengo liliungua lile!. Kukaa sana kijijini unapoteza dira, itabidi nirudi town tu kwani hakuna namna!.Mimi sina uzoefu sana na jiji la Dar es Salaam kwa miaka ya nyuma. Nililetwa na mbio za mwenge (aaah aah). Hivyo nauliza. Hii Motel Agip, Motel Afrique na Maggot Hotel vilikuwa mtaa gani?
Acha zako wewe unadhani kila mtu yupo dsm na wewe nitafute hapa kijijini kwetu tuone kama sikupotezi :Hujui Embassy Hotel ipo wapi afu unajifanyaga mjuaji kweli, kama umekasirika njoo sehemu zifuatazo utanikuta:-
1: Jengo la salamander
2: Avalon cinema
3: Imasco social hall
4: Lang'ata disco theque
5: Salvation army
6: Best bites
7: Lango la jiji
najua huwezi kunipata,adios