Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

Hujui Embassy Hotel ipo wapi afu unajifanyaga mjuaji kweli, kama umekasirika njoo sehemu zifuatazo utanikuta:-

1: Jengo la salamander
2: Avalon cinema
3: Imasco social hall
4: Lang'ata disco theque
5: Salvation army
6: Best bites
7: Lango la jiji
najua huwezi kunipata,adios
Umesahau;
Snow cream
Coffee bar pale Extelecomes
Odeon Cinema
New Chox
Cameo Cinema
 
Hata mimi nimeona kama vile wanataka kuanza ukarabati. Hiyo hoteli iliuzwa wakati wa ubinafsishaji na kama sikosei ni Ndesamburo kupitia Keys Hotel ndiyo walionunua. Baadaye ukazuka mgogoro juu ya madai ya waliokuwa wafanyakazi dhidi ya PSRC au LART wakitaka walipwe stahiki zao ndiyo umiliki uhamishwe. Hapo hapo kulikuwa na wahindi kupitia KJ Motors nao walikuwa wakidai, nadhani nao walikuwa na hisa.
Huenda nayo imo kwenye orodha iliyotoka kwa Msajili wa Hazina ikitaka wale wote walionunua mali za serikali waziendeleze kabla hawajanyang'anywa. Kama nakumbuka Tanzania ilikopeshwa na Ufaransa ili kujenga hoteli hiyo ikiwa chini ya TTB.

Binafsi naamini walionunua hiyo Embassy na Motel Agip (kina Mantheakis) walifanya hivyo ili kuzidhoofisha kwani huyo huyo Mantheakis ndiyo alikuwa anaanzisha Sheraton ambayo kwa sasa ni Serena (baada ya kuwa Royal Palm na kisha Movernpick).
SASA Mkuu Kwa Maelezo Yako, NADHANI Hiyo Hotel Bado Ilikuwa Na Mgogoro Mkubwa, Ndio Maana Kulikuwa Na Wadai Lukuki!! SASA Hilo Ni Tatizo La Nani!!?? MNUNUZI Au MUUZAJI!!!???
 
Hizi hotel jamaa Wahindi wa Kunduchi Beach Hotel na Wet n wild (Wellworth group) walijichukulia na mpaka leo hawajaweza kuziendesha! kila siku porojo hili ni jipu la kutumbuliwa!
 
Kati ya hizo kumbi tatu za sinema ukiongezea na Empress na Avalon ni ukumbi upi ulikuwa kubwa lao?
Empress kwangu ilikuwa baba lao, ikifuatiwa na Avalon!. Empire pale kupata ticket ilikuwa lazima uvue shati!.
 
Mkui ni sawa na mtu akukute pale uhuru freight akuulize umuelekeze ilipo hotel ya movern pick... Bila shaka jamaa atamuambia kuwa hio hotel haipo... Kiukweli haipo ila kiuhalisia na kwa hali ya kawaida watu wengine ubishi upo kwenye damu.
Hii maisha iliyopo lapf ndio ile ile ya zamani na ndio imehishiwa pale regardless majina yamebadilisha it doesnt matter..

Mkuu ni kutofautiana kimtazamo tu na kikubwa ni kuelimishana na siyo kwamba ubishi uko kwenye damu. Nieleweshe katika hili: ikitokea hii Maisha Basement (unayoiita Maisha Club) ikawa haipo kwa jina hilo pale LAPF Millenium Tower na wamiliki wake wakafungua sehemu nyingine tofauti mfano maeneo ya Posta Mpya, na wakawa wanatoa burudani kama iliyokuwa ikitolewa pale Maisha Basement, lakini sasa wakawa wamebadili jina na kuiita let's say Burudani Daima, hapo tutasema iliyohamishwa ni Maisha Club au ni Maisha Basement? Na je hapo Burudani Daima tutaendelea kupaita Maisha Club? Tueleweshane tu kwa nia njema tu.
 
Huu wako ni ubishi, hata unyumbulishe vipi maneno.. Ukweli utabakia vile vile kuwa maisha club wamehamia LAPF "ceterus paribus"
 
Pege
Nipo dsm. Haya wewe mtaalamu wa dar niambie peguot house iko wapi?
Na club maisha iko wapi?
Inatazamana na Barclays bank(Bushtrekker) kwa upande mmoja na mwingine inaangaliana na Uhuru Heights,sasa club Maisha ipo LAPF Millenium Tower jengo jipya,Darisalama ina wenyewe na wenyewe ndio sisi akina ugonile.Kulikuwa na Magotts kabla ya hiyo Jolly yenu na mitaa Ohio kabla ya Kona bar,pia kulikuwa na Mawenzi Hotel ilipo Hilton Inn.
 
UncleBen njoo ubishane na hawa jamaa mimi nishawashindwa.
Hahaha komaa nao nimekuona mda kweli ,inahitaji uwe mbishi halafu usijali ndio utawezana na wabishi,nadhani hapo mnatofautiana muda tu kwamba iliyokua Maisha ya zamani masaki imehamia Kijitonyama ,na wewe kwa sababu upo updated zaidi yake ndio ukamfahamisha hivyo
Nadhani wote mko sawa
 
Pege

Inatazamana na Barclays(Bushtrekker) bank kwa upande mmoja na mwingine inaangaliana na Uhuru Heights,sasa club Maisha ipo LAPF Millenium Tower jengo jipya,Darisalama ina wenyewe na wenyewe ndio sisi akina ugonile
Bravo!!! Jamaa wanakataa wanadai ile iliyopo LAPF sio maisha.....wanasema ile ni Maisha basement ni tofauti kabisa na maisha club .......
 
Hahaha komaa nao nimekuona mda kweli ,inahitaji uwe mbishi halafu usijali ndio utawezana na wabishi,nadhani hapo mnatofautiana muda tu kwamba iliyokua Maisha ya zamani masaki imehamia Kijitonyama ,na wewe kwa sababu upo updated zaidi yake ndio ukamfahamisha hivyo
Nadhani wote mko sawa
Ubishi hauko hapo, ile iliyopo LAPF sasa hivi inaitwa maisha basement.. Wao wanakataa kuwa sio maisha club... Ndio jina limebadilika ila spika na vifaa ndio vile vile ...
 
Bravo!!! Jamaa wanakataa wanadai ile iliyopo LAPF sio maisha.....wanasema ile ni Maisha basement ni tofauti kabisa na maisha club .......
Waache waendelea kubisha ,hawakunyimi usingizi na wanaobisha nadhani wanaishia pale mitaa ya karibu Afrika Sana,
 
Huu wako ni ubishi, hata unyumbulishe vipi maneno.. Ukweli utabakia vile vile kuwa maisha club wamehamia LAPF "ceterus paribus"

Sawa mkuu. Tusikimbilie kusema ni ubishi. Maisha Club as a "business name" is willy-nilly no longer existing. Kama "business" iliyokuwa ikifanywa nao ni sawa ipo and now it has been taken over by Maisha Basement (ambayo ni club mpya na jina jipya). Sasa kama Maisha Club ilikuwa ni "business name" au "business" ni juu yako kutafakari. Ni sawa na sasa ung'ang'anie kuwa kuna mabasi yaitwayo Scandnavia wakati hayo yalishabadilishwa jina na kuitwa jina tofauti. Scandnavia was simply a "business name" na sasa halipo japo "business" ipo.
 
Back
Top Bottom