Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

Ubishi hauko hapo, ile iliyopo LAPF sasa hivi inaitwa maisha basement.. Wao wanakataa kuwa sio maisha club... Ndio jina limebadilika ila spika na vifaa ndio vile vile ...
Mbona ubishi huu mrahisi sana ?? Wanao miliki Maisha Club ni kina nani ? Ni nani Mmiliki wa Maisha basement ?? Tukipata hayo majibu ndio tutamaliza ubishi ,ni sawa sawa na kubadilisha jina Kilimanjaro Kempisky kuita Hyatt regency wakati wafanyakazi na mmiliki ni wale wale japo jengo halijahama
 
Mkuu ni kutofautiana kimtazamo tu na kikubwa ni kuelimishana na siyo kwamba ubishi uko kwenye damu. Nieleweshe katika hili: ikitokea hii Maisha Basement (unayoiita Maisha Club) ikawa haipo kwa jina hilo pale LAPF Millenium Tower na wamiliki wake wakafungua sehemu nyingine tofauti mfano maeneo ya Posta Mpya, na wakawa wanatoa burudani kama iliyokuwa ikitolewa pale Maisha Basement, lakini sasa wakawa wamebadili jina na kuiita let's say Burudani Daima, hapo tutasema iliyohamishwa ni Maisha Club au ni Maisha Basement? Na je hapo Burudani Daima tutaendelea kupaita Maisha Club? Tueleweshane tu kwa nia njema tu.

Unaobishana nao wameshelewa point yako na kimoyo moyo wamekubali kushidwa, ila hawawezi kukutangazia kwamba wameshindwa mkuu.

Anayeelewa maana ya Business Names atakuwa amekuelewa. Hakuna kitu kinachoitwa Maisha Club hapa Dar.
 
Mkuu ahsante kwa kunisoma vizuri.
 
Unaobishana nao wameshelewa point yako na kimoyo moyo wamekubali kushidwa, ila hawawezi kukutangazia kwamba wameshindwa mkuu.

Anayeelewa maana ya Business Names atakuwa amekuelewa. Hakuna kitu kinachoitwa Maisha Club hapa Dar.
Kwa hio ukibadilisha business name maana yake na type ya activities inabadilika?
Lets say wewe ni dereva taxi unafanya kazi.. Mteja anataka kwenda maisha club utamwambia arudi nyumbani kwa sababu maisha club haipo tena?
Maisha club hapa dar ipo na ipo lapf sasa hivi inaitwa maisha basement club.
Acha ubishi
 
Hapo maisha basement watu wanaenda kufanya nini? Restaurant?
 
Kwa hio ukibadilisha business name maana yake na type ya activities inabadilika?
Lets say wewe ni dereva taxi unafanya kazi.. Mteja anataka kwenda maisha club utamwambia arudi nyumbani kwa sababu maisha club haipo tena?
Maisha club hapa dar ipo na ipo lapf sasa hivi inaitwa maisha basement club.
Acha ubishi

Hakuna kitu kinachoitwa Maisha Club tena, kuna kitu kinaitwa "Rebranding and Relocation", ndicho walichokifanya.

Ukipata mteja wa hivyo unamwelewesha tu kwamba kwa sasa jamaa wamehamia sehemu flani na wanatumia jina hili hapa, mteja anaamua kwenda au kutoenda.
 
Mkuu wangu Heshima yako. Kuhusu Peguot House umepata ila Maisha Club umebug men...
maisha club ipo sehem ambayo inawezekana unapita kila siku rudi tena kafanye research yako... Umeona kwenye miji kama hii sehem unaweza ukawa unaipita kila siku ila hujui...
Jumapili njema kiongozi..
Mkuu si unaona mimi mara kibao napita hapo imalaseko ila sikujua kuwa embasy H iko hapo japo nishawahi kuiskia sana
Usikute unasema maisha basement kama ni maisha club alipokuelekeza ndio sahihi ila Maisha basement ipo Milenium towers! Kweli wewe mgeni wa jiji
 
Sasa Maisha club nimebugi wapi?unajua shule ya sekondari Oysterbay ilipo?ngoja nikuelekeze utaelewa tu,ukitoka St.Peter kabla mataa ambayo sasa hayapo unanyoosha hiyo barabara kuna hotel jina limenitoka sasa kabla hujafika hicho kilima na kabla ya kituo cha mafuta Puma na ni upande huo huo wa shell ndipo maisha ilipo,kuna watu watasaidia ninachokwambia.
Morogoro store,ukishuka pale msasan macho unaambaa na ukuta was ccrbt unanyoka na road utamkuta ile bar maarufu yenye polo wengi kama we no mpenzi wa watoto was kizungu jimwage pale kama a.town wanavyojimwaga via via .maisha club IPO hapo karibu na Atalanta hotel
 
NAOMBA KUULIZA NI NANI MMILIKI WAKE?
KAMA NI YA SEREKALI KWA NINI WASIBINASFISHE!/
NA KUMBUKA ENZI HIZO DA, PALIKUWA NI ENEO TULIVU SANA HAPO NA AGIP HOTEL SIJUI IPO?AU ISHAJIFIA.
Agip Motel...
Chai saa kumi taratiiiiiibu

Lunch chips murua za skyway

Breakfast chapati laini za luther hs

Motel Agip ilikufa kifo cha mende pamoja na skyway kabla ya skyway kugeuzwa kasino
 
Umesahau;
Snow cream
Coffee bar pale Extelecomes
Odeon Cinema
New Chox
Cameo Cinema
Hujui Embassy Hotel ipo wapi afu unajifanyaga mjuaji kweli, kama umekasirika njoo sehemu zifuatazo utanikuta:-

1: Jengo la salamander
2: Avalon cinema
3: Imasco social hall
4: Lang'ata disco theque
5: Salvation army
6: Best bites
7: Lango la jiji

najua huwezi kunipata,adios
Mkiondoa hizo za RED, hapa sasa mtakuwa mnashindana uzee!!! Kwa mtu kama Saint Ivuga ambae ameleta story za Ikalus bila kuulizwa nilitarajia atoe jibu hapo... kushindwa kwake kunaonesha ama na yeye amekuja mjini kwa gari moshi zama za Che Ben au ni wale wa zama za English Medium schools na St dash dash za kila mtaa!!!
 
Wadau siku ya Tatu sasa napita eneo hili naona mafundi wakichomelea bodi ya gari(Lori).

Ina maana ssasa ni karakana rasmi kwa kazi hiyo!?

Tujuzane jamani!
Sija-pay attention pande hizo lakini nashangaa kusikia kumbe bado Embassy ni gofu manake tangu wazungushie uzio wa mabati inakimbilia ama imeshatimia miaka 3!
 
Morogoro store,ukishuka pale msasan macho unaambaa na ukuta was ccrbt unanyoka na road utamkuta ile bar maarufu yenye polo wengi kama we no mpenzi wa watoto was kizungu jimwage pale kama a.town wanavyojimwaga via via .maisha club IPO hapo karibu na Atalanta hotel
Atalanta Hotel ndio wapi? Au unamaanisha Atlantis Hotel? Btw imekuwa Best Western Hotel sio Atlantis tena.
 
Huu uzi utanirahisishia research yangu ya kupata Waluguru 10 ambao wapo active JF!
 
[QUOTE"chige, post: 15385334, member: 20171"]Sija-pay attention pande hizo lakini nashangaa kusikia kumbe bado Embassy ni gofu manake tangu wazungushie uzio wa mabati inakimbilia ama imeshatimia miaka 3![/QUOTE]
Uzio wa Bati bado upon man.
 
Back
Top Bottom