BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...In kweli mkuu. Ila nasikia kuna Wajanja pale katikati ya mji wameifanya Embassy Hotel kama guest house ya short time fasta na wanajikunjia uchache wao na kutajirika huku serikali yetu ikiendelea kung'aa macho tu. Very sad.WanaJF,
Ni jambo la kutia huzuni kuona vijana wanaangaika wanakosa hostel wakati kuna majengo yanaoza, Kama hawataki kiyaendeleza basi watangaze tenda watu wayakarabati yawe hostel za bei nafuu Serikali iendelee kupata kodi kuliko kuyaacha yakioza.
Hivi kweli Serikali haiyatambui mpaka kutelekezwa miaka yote?